Bomu lililorushwa kwenye hospitali ya Gaza lilmetengenezwa Marekani ni MK-84

Bomu lililorushwa kwenye hospitali ya Gaza lilmetengenezwa Marekani ni MK-84

Wewe unadhani ndo mwisho?
Mpaka mtoto wa mariam arudi.aje awahukumu
allah ameagiza muitane Kwa majina ya baba! Kwa nini unamuita Kwa jina la mama Yake??
[emoji116][emoji116]
ادْعُوهُمْ لِآبَائِهِمْ هُوَ أَقْسَطُ عِندَ اللَّهِ ۚ فَإِن لَّمْ تَعْلَمُوا آبَاءَهُمْ فَإِخْوَانُكُمْ فِي الدِّينِ وَمَوَالِيكُمْ ۚ وَلَيْسَ عَلَيْكُمْ جُنَاحٌ فِيمَا أَخْطَأْتُم بِهِ وَلَـٰكِن مَّا تَعَمَّدَتْ قُلُوبُكُمْ ۚ وَكَانَ اللَّهُ غَفُورًا رَّحِيمًا

[ AL-AH'ZAB - 5 ]
Waiteni kwa baba zao, maana huo ndio uadilifu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na ikiwa hamwajui baba zao, basi ni ndugu zenu katika Dini, na rafiki zenu. Wala si lawama juu yenu kwa mlivyo kosea. Lakini ipo lawama katika yale ziliyo fanya nyoyo zenu kwa makusudi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
Issue sio limetengenezwa wapi,issue ni limerushwa na nani??

Je ni Israel au Hamas??

Hii ndio hoja ya kuijadili.
Hilo bomu linarushwa na ndege tu na Hamas hawana ndege za kivita mjadala unaanzia hapo kama unataka mjadala.
 
Ritz mara hii umeshaenda Gaza umeshatathimini scale of destruction na umeshakusanya zako mabaki ya roketi na umeshapata jibu ni bomu la aina gani teyari.
1. Kwahiyo na wewe umeenda mpk Israel ukajua km kuna vita kati ya Israel na Gaza?
2. Ukajua km kuna waisrael wameuwawa na wapelestina?
3. Ukafika na kujua kuwa kuna kundi la HAMAS?
Inashangaza
 
Sawa tu ila Hamas hawatarudia kujichomoa akili tena for centuries
Na wangepiga mengi tu hata huko waliko watu wengine, kwasababu ni uchokozi wa hali ya juu kwenda kwenye tamasha la muziki kwenda kuua watu bila sababu.

I wish ningekuwa Netanyahu( in Magufuli's voice)
 
1. Kwahiyo na wewe umeenda mpk Israel ukajua km kuna vita kati ya Israel na Gaza?
2. Ukajua km kuna waisrael wameuwawa na wapelestina?
3. Ukafika na kujua kuwa kuna kundi la HAMAS?
Inashangaza
Two incomparable scenarios, hii scenario inahitaji specialist na muda pia kung'amua na kuleta majibu ya uhakika bila kuleta bias upande wowote na sio wewe upigiwe simu na mpalestina akiwa kwenye tukio akwambie ni bomu fulani. Hiyo 1, 2 na 3 yako haioani kabisa na scenario husika.
 
allah ameagiza muitane Kwa majina ya baba! Kwa nini unamuita Kwa jina la mama Yake??
[emoji116][emoji116]
ادْعُوهُمْ لِآبَائِهِمْ هُوَ أَقْسَطُ عِندَ اللَّهِ ۚ فَإِن لَّمْ تَعْلَمُوا آبَاءَهُمْ فَإِخْوَانُكُمْ فِي الدِّينِ وَمَوَالِيكُمْ ۚ وَلَيْسَ عَلَيْكُمْ جُنَاحٌ فِيمَا أَخْطَأْتُم بِهِ وَلَـٰكِن مَّا تَعَمَّدَتْ قُلُوبُكُمْ ۚ وَكَانَ اللَّهُ غَفُورًا رَّحِيمًا

[ AL-AH'ZAB - 5 ]
Waiteni kwa baba zao, maana huo ndio uadilifu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na ikiwa hamwajui baba zao, basi ni ndugu zenu katika Dini, na rafiki zenu. Wala si lawama juu yenu kwa mlivyo kosea. Lakini ipo lawama katika yale ziliyo fanya nyoyo zenu kwa makusudi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Baba yake issa unamjua?
 
Sawa tu ila Hamas hawatarudia kujichomoa akili tena for centuries
Tatizo. Watoto wadogo mmevamia mitandao, kwa taarifa yako wapalestina walishazoea vifo, mambo hayo wameanza kufanyiwa miaka mingi sana nafkiri hata baba alikua hajzaliwa
 
Nimelaani uchokozi wa Hamas umesababishia watoto maafa....
Ndiyo unafik wenyewe huo, unamlaani aliyeingiliwa kwao siyo mwizi aliyemuingilia.

Hilo la watoto dunia nzima wamesema ni propaganda za uongo wa wayahudi.
 
Back
Top Bottom