Bomu lililorushwa kwenye hospitali ya Gaza lilmetengenezwa Marekani ni MK-84

Leta hiyo link ya gazeti la Marekani lilipodai limeona mabaki ya bomu
 
Sawa, yale 5,000 yaliyorushwa na HAMAS siku ya uvamizi yametengenezwa wapi? na madhara yake yangekuwaje kama Irone Done isingeyapunguza? Hilo moja tu lililotua hospitali mnapiga makelele kwa nini?

Kwanza muelewe vita havina macho, pili ni vigumu kutengansisha waparestina watiifu na hao magaidi HAMAS, sasa ni hivi wote waliobakia northern Gaza kwa kiburi ni HAMAS, kwa hiyo wategemee nvua nyingine za missile zikishuka mawinguni kama mwewe !!
 
.
Napenda Sana unavyoelezea mambo. Ukiacha kupiga punyeto utafika mbali.
 
Biden katua Islael leo, ila mvua ya mabomu yanaendela mchaba huu, Northern Gaza hapaliki tena



There are heavy bombardments still going on across the Gaza Strip, the day after the attack on the hospital that left at least 500 people dead.

A short while ago, a residential building in Khan Younis was targeted. It was completely destroyed with seven people pronounced dead on the scene. Forty others were seriously injured.

 
Hii ndio Wallstreet Journal? Ina mana WSJ wakiandika kitu hawaandiki kwao, wanalipa jarida uchwara mtandaoni liwaandikie?

Leta link ya WSJ wakisema kwamba wameona ni bomu. Hizi ni porojo umezitoa sijui kossyderrickent.com
 
Mungu hayupo.

Kama yupo na anashuhudia maovu na ukatili huu wa Dunia basi Mungu huyo ni Mkatili sana.
 
TUNAHITAJI vielelezo kudhibitisha aliyerusha hilo kombora, kama wana picha au video walete. nimeona IDF wameonesha footage za shambulio hilo kwamba ni roketi za HAMAS zilizofeli zikaangukia hapo hospital, sasa wenye footage za israel kushambulia nao watupe, maana hata kama bomu ni la USA hao HAMAS wanaweza kulipata vilevile
hii dunia ina wataalam weng wa investigations, watumwe wataalam waje na fair report maana kwenye vita kuna propaganda nyingi
 
Una umri gani? Uwafahamu Wapestina wewe.
Kuna watu wengine ndugu hata nguruwe anafahamu huyo dogo hajui Israel ndio itaingusha America, si vile America wanategemea eti kama haipo Israel tungeteneza Israel kwa faida yetu hayo maneno aliongea Biden zamani😂
 
Benjamin Netanyahu to US president Joe Biden today.

“While Israel seeks to minimize civilian casualties, Hamas seeks to maximize civilian casualties,” Netanyahu said. “Hamas wants to kill as many Israelis as possible and has no regard whatsoever to Palestinian lives – every day they perpetrate a double war crime, targeting our civilians while hiding behind their civilians, embedding themselves in the civilian population and using them as human shields.”

"Wakati Israeli inataka kupunguza vifo vya raia, Hamas inatafuta kuongeza majeruhi ya raia," Netanyahu alisema. "Hamas inataka kuua Waisraeli wengi iwezekanavyo na haijalishi maisha ya Wapalestina - kila siku wanafanya uhalifu wa vita maradufu, wakiwalenga raia wetu wakiwa wamejificha nyuma ya raia wao, wakijiingiza ndani ya raia na kuwatumia kama ngao za binadamu.
 
mwisho wa Hamas ushafika - islael watakula nao sahani moja mwanzo mwisho.
 
Ni mjinga tu anayeweza kusema hamas anahusika kwa sababu kila kitu kipo wazi.
 
HAMAS ina miaka 30 tu tangu ianzishwe, na kabla ya HAMAS haijakuwepo Israel ilikuwa inawafanyia Wapalestina mambo hayahaya.

HAMAS isitumike kama kisingizio cha udhalimu.
Lazima itumike maana wao ndio walianza kushambulia Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…