Bomu lililorushwa kwenye hospitali ya Gaza lilmetengenezwa Marekani ni MK-84

Ndiyo unafik wenyewe huo, unamlaani aliyeingiliwa kwao siyo mwizi aliyemuingilia.

Hilo la watoto dunia nzima wamesema ni propaganda za uongo wa wayahudi.
Sasa hata ukiingiliwa si utumie busara?unaanzisha vita ya mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo
 
Wao wachapane tuu, kila mtu apigane na alichonacho si ndio vita au mimi ndio sijui maana ya vita!

Umenivamia na watoto wangu uniue, nachukua jambia unasema aah usitumie jambia halirusiwi bwana tumia kisu๐Ÿ˜
 
Sasa hata ukiingiliwa si utumie busara?unaanzisha vita ya mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo
AAah, wale mbwa Wapalestina? Ni wakuuliwa tu wote, hawana haki kabisa.

Wapigwe tu, mahospital, mashule, wazee, watoto , vijana, wana haki gani ya kuishi? Wauwaji wale?
 
AAah, wale mbwa Wapalestina? Ni wakuuliwa tu wote, hawana haki kabisa.

Wapigwe tu, mahospital, mashule, wazee, watoto , vijana, wana haki gani ya kuishi? Wauwaji wale?
Lakini Hilo bomu la hospital si wamerusha wa Hamas wenyewe?Sasa mbona kama unalaumu ?
 
Baba yake issa unamjua?
Allah!
Baba yake issa unamjua?
Aliye mpuliza Uje wake mpaka akapata mimba akamzaa Isa ndiye baba yake!
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
ูˆูŽุงู„ู‘ูŽุชูUkูŠ ุฃูŽุญู’ุตูŽู†ูŽุชู’ ููŽุฑู’ุฌูŽู‡ูŽุง ููŽู†ูŽููŽุฎู’ู†ูŽุง ูููŠู‡ูŽุง ู…ูู† ุฑู‘ููˆุญูู†ูŽุง ูˆูŽุฌูŽุนูŽู„ู’ู†ูŽุงู‡ูŽุง ูˆูŽุงุจู’ู†ูŽู‡ูŽุง ุขูŠูŽุฉู‹ ู„ู‘ูู„ู’ุนูŽุงู„ูŽู…ููŠู†ูŽ

[ AL - ANBIYAA - 91 ]
Na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu.

ww nakuaminia dogo tufahamishe alimuweka Mkao gani wakati anampuliza??
 
Wee umeona wapi mimba inaingia kwa kupulizwa?
 
Kunahaja yakuwalaani wagaza kuliko chochote baada ya Gaza kujibuwa
 
Wee umeona wapi mimba inaingia kwa kupulizwa?
Kambishie Aliye mpuliza!
Binti amran aliulinda uje wake akaja allah akampuliza akawa mjamzito na kumzaa Isa!
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
ูˆูŽู…ูŽุฑู’ูŠูŽู…ูŽ ุงุจู’ู†ูŽุชูŽ ุนูู…ู’ุฑูŽุงู†ูŽ ุงู„ู‘ูŽุชููŠ ุฃูŽุญู’ุตูŽู†ูŽุชู’ ููŽุฑู’ุฌูŽู‡ูŽุง ููŽู†ูŽููŽุฎู’ู†ูŽุง ูููŠู‡ู ู…ูู† ุฑู‘ููˆุญูู†ูŽุง ูˆูŽุตูŽุฏู‘ูŽู‚ูŽุชู’ ุจููƒูŽู„ูู…ูŽุงุชู ุฑูŽุจู‘ูู‡ูŽุง ูˆูŽูƒูุชูุจูู‡ู ูˆูŽูƒูŽุงู†ูŽุชู’ ู…ูู†ูŽ ุงู„ู’ู‚ูŽุงู†ูุชููŠู†ูŽ

[ ATTAH'RIIM - 12 ]
Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na tukampulizia humo kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.

Kabla ya mpuliza alikuwa bikna!
Kweli??
Huo Ndio ubakaji๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜œ
 
HAMAS ina miaka 30 tu tangu ianzishwe, na kabla ya HAMAS haijakuwepo Israel ilikuwa inawafanyia Wapalestina mambo hayahaya.

HAMAS isitumike kama kisingizio cha udhalimu.
Kama umeangalia Interview ya Piers Morgan na Youssef Bessam, Piers kauliza swali hilo hilo Palestina ingekuwaje bila Hamas, Bessam kamjibu Ingekua Western Bank.

Western Bank hakuna Hamas ila nao kila siku wanauliwa, wanateswa hawana haki kama wanyama. With or Without Hamas kusingebadili Chochote.
 
sasa kama unaamini mimba yake ilipulizwa utasemaje ALIKUWA NA BABA?
 

Nimeiangalia ile interview, aisee Bessam katumia njia nzuri sana ya kudisarm propagandists kupitia humor. It is more effective badala ya kwenda nao point to point kwa sababu unakuta mtu ukweli anaujua ila anaamua kufa na msimamo fulani.
 
Kama ni hiyo Israel imewaua hao wapalestina ni sawa tu,kwani wapalestina walipowaua waisraeli kwenye tamasha walikuwa na silaha?
Walikuwa raia tu kama hao.
Unafiki ni tabia mbaya sana mlishangilia watu wasio na hatia kuuliwa ,mkapongezana kwa majina ya miungu yenu, leo waliua wanauliwa mnasema wameua wasio na hatia , raia.
Uziri wenyewe vitabu vyenu vinaruhusu kisasi, tulieni kisasi kilipwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ