figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kiasi gani?Pesa
HUyo ni kama mbwa mwenye njaa mtupie mfupa naona amerudi kuchonganisha mamboKiasi gani?
Amechagua fungu lililo jema.BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?
Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.
Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA
Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Mbona hujajibu swali?unakata corner tu.HUyo ni kama mbwa mwenye njaa mtupie mfupa naona amerudi kuchonganisha mambo
Ingawaje ni mtu nilikuwa namfuatilia sana
sawa twende naye kimkakati huenda anataka kuwa inside informer kwa bosi wake wa zamaniBONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?
Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.
Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA
Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob
View attachment 3295927View attachment 3295928
tunakwenda naye ng`adu kwa ng`adu for his stepsKamwe huyo jamaa hawezi kumsaliti Mbowe. Lissu afukuze huyo Boniyai
Tupo makini tunafatilia kila hatuaKirusi huyo kajiunga kwasababu maalumu
Hayakuhusu bibie.Kamwe huyo jamaa hawezi kumsaliti Mbowe. Lissu afukuze huyo Boniyai