PreGE2025 ‘Bon Yai’ Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe, ajiunga na Kambi ya Tundu Lissu.. No reforms, no Election

PreGE2025 ‘Bon Yai’ Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe, ajiunga na Kambi ya Tundu Lissu.. No reforms, no Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?

Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.

Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA

Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob
View attachment 3295927View attachment 3295928
Huo ndo uongozi...
 
Kanda ya kusaini zikipigwa oparesheni kadhaa ccm Wana kazi...
 
..hata kama unataka kugombea ni busara zaidi kupambana kwa nguvu zote kwa ajili ya Reforms kabla ya kutia nia. Naamini hicho ndicho atakachofanya Boni Yai.
Kugombea kwa sasa bila mabadiliko ni kichekesho...
 
Kaingia ili ajue nini plans zao ili awape mamwela
 
Back
Top Bottom