PreGE2025 ‘Bon Yai’ Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe, ajiunga na Kambi ya Tundu Lissu.. No reforms, no Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?

Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.

Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA

Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob
View attachment 3295927View attachment 3295928
wawe nao tu makini kwani huwezi jua kama ni ma tiss wa DJ hao.
 
Wanaitwa penetrators au vipenyo
 
Kama adui anapita njia ya miba, kwa nini umstue, mhamasishe aongeze spidi, akinasa anakaa chini
 
BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?

Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.

Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA

Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob
View attachment 3295927View attachment 3295928
Big up Bon Yai
 
Safi sana Boniyai 💐💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻
 
Uongozi wa CDM na wazee wa chama ni vizuri wakae meza moja ya majadiliano na wale wanachama wa kundi la G55 ili waelimishwe, wakumbushwe, chama kiliazimia nini na nini kwenye No Reform No Election,

maana nahofia CDM watakuja kushangaa kwenye uchaguzi wa Oct 2025 chama chao kina wagombea kwenye majimbo kadhaa ili hali wanapiga uchaguzi ikatokea kama ya wabunge wa viti maalum 2020

Hakuna Mtu wa Chadema mwenye nia ya ubunge atakubali afike 2030 ajawa mbunge

Hata Huyo Lissu , Heche na Chiba Tone tone na ruzuku ndio jeuri yao
 
Lile genge lote la njaa 59 linatumia kundi lake la wostup na hawazuii yeye na Mbowe wako nyuma ya hilo genge njaa 59
 
BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?

Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.

Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA

Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob
View attachment 3295927View attachment 3295928
Kachagua upande sahihi
 
Back
Top Bottom