wawe nao tu makini kwani huwezi jua kama ni ma tiss wa DJ hao.BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?
Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.
Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA
Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob
View attachment 3295927View attachment 3295928
Boni Yai alicheza kete vibaya wakati wa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ndani ya chadema.Ukiwa mwqnasiasa unapaswa ucheze kete kwa akili sana, ukikosea ukapotea ni ngumu kurudi...
Wanaitwa penetrators au vipenyoBONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?
Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.
Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA
Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob
View attachment 3295927View attachment 3295928
kaangalia maslahi mapana ya chama na taifa. Kaangalia kwenye akili ni wapi, kaifuata akili.Kirusi huyo kajiunga kwasababu maalumu
Yes .atakosa nguvuJohn Mrema chali
Nijibu nini bwana boni yai chawa wa mbowe?Mbona hujajibu swali?unakata corner tu.
Big up Bon YaiBONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?
Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu Lissu kwenye No Reforms, No Election.
Wafuasi wa Mbowe wamekuwa wanatumiwa na mfumo kuihujumu CHADEMA
Boniface Jacob ni Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, pia ni menyekiti wa Kanda ya Pwani wa CHADEMA
View attachment 3295923View attachment 3295924
Hapa chini ni Taarifa ya Kikao cha Kamati tendaji Kanda ya Pwani, kilichofanyika siku ya jana April 5 2025, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kanda Mh.Boniface Jacob
View attachment 3295927View attachment 3295928
Wazo kuu ni kurudisha nguvu yapamoja baada ya uchaguzi haya ya kufukuzana yanayoka wapi.Kamwe huyo jamaa hawezi kumsaliti Mbowe. Lissu afukuze huyo Boniyai
No reforms no eRectionNo Reform no Election
Kweli kabisa Mkuu. Chadema ya Lissu wanatakiwa wasimiamini Boni Yai. Yaani inatakiwa WAMFUKUZE fasta kabla hajawaharibia!!Kirusi huyo kajiunga kwasababu maalumu
ElectionNo reforms no eRection
Uongozi wa CDM na wazee wa chama ni vizuri wakae meza moja ya majadiliano na wale wanachama wa kundi la G55 ili waelimishwe, wakumbushwe, chama kiliazimia nini na nini kwenye No Reform No Election,
maana nahofia CDM watakuja kushangaa kwenye uchaguzi wa Oct 2025 chama chao kina wagombea kwenye majimbo kadhaa ili hali wanapiga uchaguzi ikatokea kama ya wabunge wa viti maalum 2020
Kachagua upande sahihiBONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?