Umeonaee? Mayweather alitakiwa amzime mapema tungejua yuko vizur hataa raund ya tatu sasa mpaka yakumi wafanye nae akachez MMA tuone kama anachukua dakik2. Na akitamanishwa pesa tena akarud ulingoni kupambana na boxer mzoefu kaishaaHivi ulitegemea nini ktk hili pambano?? Huyu sio professional boxer, mpaka kafika raundi hii maana yake mayweather ndo hamna kitu, yeye mayweather angepigana na jamaa ktk gemu lake aone kama angefika raundi ya pili!
Acha uongo wewe Joshua hayupo uzito sawa na mayweather , Huko kwenye heavyweight akipelekwa mayweather mtaokota maitiKwenye uzito wake ....huyu hapa aliyeshindikana ...View attachment 575774
Mkuu unamaanisha au unatania?antony joshua akipambana na mayweather atafia ulingoni....ni mzito kama mcheza sumo na hana punzi
Au nae ajaribu MMA kidogo akiweza maliza raund mojaa tutajua yuko vizurRaundi ya kumi,ila is not fair boxer vs karate.hana pumz mc Gregory. Mayweather tafuta mabondia ili tufaham ujuz wako.shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawez fanya hivyo ataharibiwa record yakee kashachokaa sahivHili ndo nalosisitiza! Watu wanamuona mayweather genius kwa kumpiga mtu ambaye sio boxer hata!
Aitishe tena pambano la mwisho na yule mlatino anayesymbua watu sasa hivi!
Unadhan may akiwekewa dau refu na profesionl boxer atakubali kurud kati kama kapelekwa mpaka ten rounds na mtu wa MMA? Au nayeye ajarub kule kwakina mac tuone atatoboa sekunde ngap [emoji23][emoji23][emoji23]Ni sawasawa na wachezaji wa basketball wajikusanye wakacheze na Madrid alafu Madrid ishinde goli moja dakika ya 85 alafu washangilie..
Going to 10 round the lead kwa May ilikuwa 5-4.. Conor was gassed out and his legs were tired. Pambano lake la kwanza against a GOAT na kafika mbali hivo kajitahidi sana..
Ila Mayweather huyu jamaa ana akili sana yakupigana.. Amepitia vikwazo vingi sana na anaviruka.. He is simply The GOAT
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine muwe mnakaa kimya kwa vitu msivyovijuaantony joshua akipambana na mayweather atafia ulingoni....ni mzito kama mcheza sumo na hana punzi
angalia pambano la joshua na klitscho raundi ya tano joshua alivyochoka kama mbwa...kama sio uzembe klitsho angemaliza pale
Hili ni moja kati ya 50 bouts....ni dhahiri anasifika kwa yale 49 mengine basi....Hata Misosi FC walishinda PAMBANO la fainali ndondo, na ni wapi nimesema Mcgregor HAJAPIGWA? Naona wewe ndo uko infatuated na Mayweather kuliko uhalisia.
Una kichwa kizito, labda nikulainishie point yangu ni: Mayweather hastahili kuonekana kuwa ni genius wa boxing kupitia pambano hili, yuko vizuri ila sio kupitia pambano hili sababu aliyepigana nae sio BOXER.
we unajua nini sana huyo joshua ndio mweupe hakuna kitu paleWakati mwingine muwe mnakaa kimya kwa vitu msivyovijua
Atauwawaaaa haaaahaaaa cunajuaa ile cage haina pakutokea mlango ukishafungwa afu hatotoboa sekunde 5Ningependa wapige mkwanja mwingine ila Maywether aende MMA.
Hawezi rudi kupigana na vijana wadogo.. He is 40 sasa, umri umeenda.Unadhan may akiwekewa dau refu na profesionl boxer atakubali kurud kati kama kapelekwa mpaka ten rounds na mtu wa MMA? Au nayeye ajarub kule kwakina mac tuone atatoboa sekunde ngap [emoji23][emoji23][emoji23]
unachekesha kweli mayweather ameshawadunda hao maproffesional boxer wote nitajie bondia mmoja mwenye uwezo wa kupambana nae..........baada ya maboxer wote kudundwa na mayweather watu walidhani huyu bingwa wa karate ataweza lakin nae kaambulia kichapoUnadhan may akiwekewa dau refu na profesionl boxer atakubali kurud kati kama kapelekwa mpaka ten rounds na mtu wa MMA? Au nayeye ajarub kule kwakina mac tuone atatoboa sekunde ngap [emoji23][emoji23][emoji23]
unachekesha kweli mayweather ameshawadunda hao maproffesional boxer wote nitajie bondia mmoja mwenye uwezo wa kupambana nae..........baada ya maboxer wote kudundwa na mayweather watu walidhani huyu bingwa wa karate ataweza lakin nae kaambulia kichapo
Joshua na Mayweather tena?? Dih!Acha uongo wewe Joshua hayupo uzito sawa na mayweather , Huko kwenye heavyweight akipelekwa mayweather mtaokota maiti
Sent From My Nokia Ya Tochi
sasa mbona amepigana na gregor mwenye miaka 29?....Mayweather anapenda pesa...hela zake zikipungua kidogo atarudi ulingoni.....huyu bado atapigana tuHawezi rudi kupigana na vijana wadogo.. He is 40 sasa, umri umeenda.
Ila alishawapiga wote waliodhani watampiga. He has nothing left to prove, He is GOAT and remained perfect after 50 games..
Kule MMA watamnyoa ndani ya sekunde..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha laki si pesa huwa nakupenda sana we jamaa..angalia pambano la joshua na klitscho raundi ya tano joshua alivyochoka kama mbwa...kama sio uzembe klitsho angemaliza pale
Ajikazee tuu afuu mkwanjaa unakuwa mkubwa zaid ye sianapenda pesaa mbona mwenzake kajikaza kafanya nae boxing? Atapewa vile vichipukizi tuu ebu jaribun kumshawishHawezi rudi kupigana na vijana wadogo.. He is 40 sasa, umri umeenda.
Ila alishawapiga wote waliodhani watampiga. He has nothing left to prove, He is GOAT and remained perfect after 50 games..
Kule MMA watamnyoa ndani ya sekunde..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bingwa wa karate ktk sheria za boxing, wangeenda sheria za UFC/ MMA.unachekesha kweli mayweather ameshawadunda hao maproffesional boxer wote nitajie bondia mmoja mwenye uwezo wa kupambana nae..........baada ya maboxer wote kudundwa na mayweather watu walidhani huyu bingwa wa karate ataweza lakin nae kaambulia kichapo