Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

Hivi ulitegemea nini ktk hili pambano?? Huyu sio professional boxer, mpaka kafika raundi hii maana yake mayweather ndo hamna kitu, yeye mayweather angepigana na jamaa ktk gemu lake aone kama angefika raundi ya pili!
Umeonaee? Mayweather alitakiwa amzime mapema tungejua yuko vizur hataa raund ya tatu sasa mpaka yakumi wafanye nae akachez MMA tuone kama anachukua dakik2. Na akitamanishwa pesa tena akarud ulingoni kupambana na boxer mzoefu kaishaa
 
Ni sawasawa na wachezaji wa basketball wajikusanye wakacheze na Madrid alafu Madrid ishinde goli moja dakika ya 85 alafu washangilie..

Going to 10 round the lead kwa May ilikuwa 5-4.. Conor was gassed out and his legs were tired. Pambano lake la kwanza against a GOAT na kafika mbali hivo kajitahidi sana..

Ila Mayweather huyu jamaa ana akili sana yakupigana.. Amepitia vikwazo vingi sana na anaviruka.. He is simply The GOAT

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhan may akiwekewa dau refu na profesionl boxer atakubali kurud kati kama kapelekwa mpaka ten rounds na mtu wa MMA? Au nayeye ajarub kule kwakina mac tuone atatoboa sekunde ngap [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata Misosi FC walishinda PAMBANO la fainali ndondo, na ni wapi nimesema Mcgregor HAJAPIGWA? Naona wewe ndo uko infatuated na Mayweather kuliko uhalisia.
Una kichwa kizito, labda nikulainishie point yangu ni: Mayweather hastahili kuonekana kuwa ni genius wa boxing kupitia pambano hili, yuko vizuri ila sio kupitia pambano hili sababu aliyepigana nae sio BOXER.
Hili ni moja kati ya 50 bouts....ni dhahiri anasifika kwa yale 49 mengine basi....
 
Unadhan may akiwekewa dau refu na profesionl boxer atakubali kurud kati kama kapelekwa mpaka ten rounds na mtu wa MMA? Au nayeye ajarub kule kwakina mac tuone atatoboa sekunde ngap [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi rudi kupigana na vijana wadogo.. He is 40 sasa, umri umeenda.

Ila alishawapiga wote waliodhani watampiga. He has nothing left to prove, He is GOAT and remained perfect after 50 games..

Kule MMA watamnyoa ndani ya sekunde..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhan may akiwekewa dau refu na profesionl boxer atakubali kurud kati kama kapelekwa mpaka ten rounds na mtu wa MMA? Au nayeye ajarub kule kwakina mac tuone atatoboa sekunde ngap [emoji23][emoji23][emoji23]
unachekesha kweli mayweather ameshawadunda hao maproffesional boxer wote nitajie bondia mmoja mwenye uwezo wa kupambana nae..........baada ya maboxer wote kudundwa na mayweather watu walidhani huyu bingwa wa karate ataweza lakin nae kaambulia kichapo
 
Ndumila kuwili upo.

Swissme
 
Acha uongo wewe Joshua hayupo uzito sawa na mayweather , Huko kwenye heavyweight akipelekwa mayweather mtaokota maiti

Sent From My Nokia Ya Tochi
Joshua na Mayweather tena?? Dih!
Ni sawa na Barcelona fc ya spain na Tabata fc ya tabata Dar.
 
Hawezi rudi kupigana na vijana wadogo.. He is 40 sasa, umri umeenda.

Ila alishawapiga wote waliodhani watampiga. He has nothing left to prove, He is GOAT and remained perfect after 50 games..

Kule MMA watamnyoa ndani ya sekunde..

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mbona amepigana na gregor mwenye miaka 29?....Mayweather anapenda pesa...hela zake zikipungua kidogo atarudi ulingoni.....huyu bado atapigana tu
 
Hawezi rudi kupigana na vijana wadogo.. He is 40 sasa, umri umeenda.

Ila alishawapiga wote waliodhani watampiga. He has nothing left to prove, He is GOAT and remained perfect after 50 games..

Kule MMA watamnyoa ndani ya sekunde..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajikazee tuu afuu mkwanjaa unakuwa mkubwa zaid ye sianapenda pesaa mbona mwenzake kajikaza kafanya nae boxing? Atapewa vile vichipukizi tuu ebu jaribun kumshawish
 
unachekesha kweli mayweather ameshawadunda hao maproffesional boxer wote nitajie bondia mmoja mwenye uwezo wa kupambana nae..........baada ya maboxer wote kudundwa na mayweather watu walidhani huyu bingwa wa karate ataweza lakin nae kaambulia kichapo
Bingwa wa karate ktk sheria za boxing, wangeenda sheria za UFC/ MMA.
 
Back
Top Bottom