Ni sawasawa na wachezaji wa basketball wajikusanye wakacheze na Madrid alafu Madrid ishinde goli moja dakika ya 85 alafu washangilie..Hivi ulitegemea nini ktk hili pambano?? Huyu sio professional boxer, mpaka kafika raundi hii maana yake mayweather ndo hamna kitu, yeye mayweather angepigana na jamaa ktk gemu lake aone kama angefika raundi ya pili!
WamekukatiliMi nastream yangu wameiblok nipe kinachoendelea
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kwa hiyo Mayweather ni genius, eti eeh!
Mkuu jamaa ndio mara yake ya kwanza kucheza boxing yeye fani yake no mixed martial art yaani karate judo wrestling graplin sasa hapa anapata tabu ku orient na rules za pure boxing .Sio mbaya sana.Apunguze kucheza faulo
Mfilipino yupi? Unamaanisha ktk UFC au boxing?? Boxing hii ndo mechi yake ya kwanza!Uyu mzungu aliwezaje kumtandika mfilipino
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Duuuuhh, hahahahaha yaani mkuu unaamka usiku wa manane kusubiri pambano wakati hata wapiganaji huwajui?Hakupigana na man PAC?
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
bro I ain't no body party!Da! We jamaa
Hongera kwa kufungua uzi
Kada wa kwenye CCM mpya
View attachment 575697View attachment 575698View attachment 575699
kwa watumiaji wa Android kuna App inapatikana katka Apk format una weza i google..
Note!..
haipo playstore so google Mobdro Apk utaipata then
cheki sports channel una weza iona kweny Channel ya Sport Klub1
...
Mapambano ya Utangulizi ndio yana endelea mtanange wenyewe bado hauja anza apa
Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
Raundi ya kumi,ila is not fair boxer vs karate.hana pumz mc Gregory. Mayweather tafuta mabondia ili tufaham ujuz wako.shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Okei, ila naona furaha ya watu weusi hapa ni kwamba hatimaye wamempiga tena mzungu aliyewaburuza ukolonini na anayeendelea kuwaburuza mpaka sasa kiakili bila kuangalia kuwa mcgregor sio boxer!Mkuu jamaa ndio mara yake ya kwanza kucheza boxing yeye fani yake no mixed martial art yaani karate judo wrestling graplin sasa hapa anapata tabu ku orient na rules za pure boxing .
Yuko vizuri akicheza mara mbili tatu kuacha reflex zake za MMA atakuwa hatari sana maana ana zike quick angle of attack switch akijifundisha na uppercut followed by power punch combo atakuwa balaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mechi ilikuwa ya "ndondo", kuiweka ktk records ni KUMPAMBA Mayweather!Hii game Conor alikuwa anaililia kitambo, mpaka matusi kibao wakati Mayweather ameshastaafu. Mayweather 50 games undefeated bado unataka ufahamu wezo wake leo? Okay!
Ndio hivyo mkuu..Dunia imetapeliwa,wamepiga hela balaa halafu ndo et huo ni mpambano!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app