Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

Baadhi ya matukio katika mpambano
b27241b297ab83e13596fbaadacfdbf1.jpg
9de845dc2676b4a8b5e9bca9343e033d.jpg
140944e0aeb299c2c7155be3917296b2.jpg
adc4a66e36320e1b62c6b032469457b7.jpg
 
Hivi ulitegemea nini ktk hili pambano?? Huyu sio professional boxer, mpaka kafika raundi hii maana yake mayweather ndo hamna kitu, yeye mayweather angepigana na jamaa ktk gemu lake aone kama angefika raundi ya pili!
Ni sawasawa na wachezaji wa basketball wajikusanye wakacheze na Madrid alafu Madrid ishinde goli moja dakika ya 85 alafu washangilie..

Going to 10 round the lead kwa May ilikuwa 5-4.. Conor was gassed out and his legs were tired. Pambano lake la kwanza against a GOAT na kafika mbali hivo kajitahidi sana..

Ila Mayweather huyu jamaa ana akili sana yakupigana.. Amepitia vikwazo vingi sana na anaviruka.. He is simply The GOAT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mbaya sana.Apunguze kucheza faulo
Mkuu jamaa ndio mara yake ya kwanza kucheza boxing yeye fani yake no mixed martial art yaani karate judo wrestling graplin sasa hapa anapata tabu ku orient na rules za pure boxing .
Yuko vizuri akicheza mara mbili tatu kuacha reflex zake za MMA atakuwa hatari sana maana ana zike quick angle of attack switch akijifundisha na uppercut followed by power punch combo atakuwa balaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raundi ya kumi,ila is not fair boxer vs karate.hana pumz mc Gregory. Mayweather tafuta mabondia ili tufaham ujuz wako.shame

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii game Conor alikuwa anaililia kitambo, mpaka matusi kibao wakati Mayweather ameshastaafu. Mayweather 50 games undefeated bado unataka ufahamu wezo wake leo? Okay!
 
Mkuu jamaa ndio mara yake ya kwanza kucheza boxing yeye fani yake no mixed martial art yaani karate judo wrestling graplin sasa hapa anapata tabu ku orient na rules za pure boxing .
Yuko vizuri akicheza mara mbili tatu kuacha reflex zake za MMA atakuwa hatari sana maana ana zike quick angle of attack switch akijifundisha na uppercut followed by power punch combo atakuwa balaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Okei, ila naona furaha ya watu weusi hapa ni kwamba hatimaye wamempiga tena mzungu aliyewaburuza ukolonini na anayeendelea kuwaburuza mpaka sasa kiakili bila kuangalia kuwa mcgregor sio boxer!
 
Hii game Conor alikuwa anaililia kitambo, mpaka matusi kibao wakati Mayweather ameshastaafu. Mayweather 50 games undefeated bado unataka ufahamu wezo wake leo? Okay!
Hii mechi ilikuwa ya "ndondo", kuiweka ktk records ni KUMPAMBA Mayweather!
 
Mipambano ya Myweather ni ya mkakati ili watu waingize pesa.ni kama Simba na Yanga.huyu mpiganaji pia yupo kama alivyokua Tyson na Mohamed Ally,walikua hata wakipigwa wanatangazwa washindi ili jina likue,siku ya siku wakitangaza mpambano mwingine watu wanafurika kupita maelezo ili wao wapate pesa,sasa hata ktk mpambano huu atashinda Myweather maana anapambana na mtu ambae yeye ni mpiga zile sijui ni judo sijui zinaitwaje na wala siyo mwana masumbwi kama huyo Myweather.hata yeye anajua hashindi ila anatekeleza dili la watu na yeye anapata kidogo

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Back
Top Bottom