dimatteo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 868
- 932
Poapoa mkuuBado, sasa hivi inapigwa kati ya George Bonabucha na Mmalawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poapoa mkuuBado, sasa hivi inapigwa kati ya George Bonabucha na Mmalawi
😅😅😅Mandonga anajiamini kupitiliza ngoja tuone ila najua weakness yake ni mfupi atapigwa kama siku ileAtatuangusha sana akikimbia,kuna moja Leo kajifanya kaumia kabla ya pambano mpinzani wake hadi kalia kwamba alijiandaa na alimtukana sana halafu anapataje jeraha kabla ya kuingia ulingoni?
Sijui tusubiri ila akipigwa atakuwa katuangusha sana[emoji28][emoji28][emoji28]Mandonga anajiamini kupitiliza ngoja tuone ila najua weakness yake ni mfupi atapigwa kama siku ile
Bado zamu yaoMwanetu Mandonga vipi huko?
Haswaaa yaan.Hilo pambano pia nalisubiri
Mandonga akipigwa ndiyo anazidi kupanda chati 😂Sijui tusubiri ila akipigwa atakuwa katuangusha sana
Kaoneka amedandia mtumbwi wa kibwengoHii mechi ikiisha mandoga na kaoneka wanafuata
Kaoneka kazi anayoKaoneka amedandia mtumbwi wa kibwengo
Inshort Mandonga amewarudisha watu kwenye kushabikia ngumiMandonga kaleta chachu sana, Bongo ili kuvutia mchezo ujae watu wengi hawa jamaa wenye maneno ni muhimu
mkuu chili uoneMandonga hawezi kushinda ,anaonekana tu ana presha na kupanic
Round ya kwanza tayari hakuna aliyepata ngumi ya maanamkuu chili uone