Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

Atatuangusha sana akikimbia,kuna moja Leo kajifanya kaumia kabla ya pambano mpinzani wake hadi kalia kwamba alijiandaa na alimtukana sana halafu anapataje jeraha kabla ya kuingia ulingoni?
😅😅😅Mandonga anajiamini kupitiliza ngoja tuone ila najua weakness yake ni mfupi atapigwa kama siku ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…