Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo(23) amchakaza mzungu

Huo ni miongoni mwa michezo ambayo naogopa kuangalia, wa kwanza ukiwa ni mieleka, mmmmmmmh!!!!
 
wacha upumbavu kuna wtanzania kibao wamewahi kushikilia mataji ya Dunia!

Excitement as TZ boxer wins GBC world belt

Cheka to defend title on X-mass day+ Francis Cheka
Huyu bado hajachukua mkanda wowote lakini platform aliyopigania ni ya kimataifa na ni level ambayo hakuna bondia mwingine ameshaifikia. Kuonekana live pambano linalorushwa na channel ya Sky si mchezo. Na ukumbuke amepigana kama undercard kwenye pambano kubwa la Amir Khan. Hii ni level nyingine. Achana na link ulizoweka... hiyo ni mikanda na mapigano ya uchochoroni! Eti mkanda wa GBC! Huu mkanda hata fake za mchina zina nafuu! Mikanda inayotambuliwa na mabingwa wa ngumi na yenye mabondia wa ukweli iko minne tu: WBA, IBF, WBO na WBC. Kuichukua hii iko shughuli. Jamaa akijitahidi anaweza kupata nafasi ya kuipigania.
 
Wacha kuropoka

 
Bondia wetu ajitahidi sana kujifunza kiingereza la sivyo Mkalimani Wa huyu bondia wetu atafanya wote waonekane wahuni tu. Haiwezekani mkalimani awe anatafsiri vitu ambavyo bosi wake hajasema

View attachment 861793
Hhhmm!!! Huyu mkalimani analeta usungura, anamuharibia mwenzie, jamaa alijibu maswali kiprofeshno kabisa, yeye anakuja kujibu kimasau bwire!
 
Mimi kama mshabikibwa mchezo wa ngumi,Nimeangalia pambano hili kwenye clip tofauti tofauti,kuna mapungufu mwalimu wake akiyaweka sawa jamaa atakuja kuwa bondia mzuri zaidi.
 
Jamaa waliobet ilikula kwao ni mshangao tu kwa kila mzungu

Hii mashine haswa ni Tyson wetu huyu
Mzungu hakuamini macho yake
 
Mkalimani wa huyu jamaa nishamjua anajiita Chidi Mzee wa Mbele huko insta, kazingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…