Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Huyo mkalimani ni useless kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio maana unamsifia ujinga messi.Kapigana na mtu mwenyewe amekondeana hivyo, ndiyo kujisifu!!...akutane na jitu kama Amir khan uone 😀😀😀
Mieleka ni uongoHuo ni miongoni mwa michezo ambayo naogopa kuangalia, wa kwanza ukiwa ni mieleka, mmmmmmmh!!!!
Huyu bado hajachukua mkanda wowote lakini platform aliyopigania ni ya kimataifa na ni level ambayo hakuna bondia mwingine ameshaifikia. Kuonekana live pambano linalorushwa na channel ya Sky si mchezo. Na ukumbuke amepigana kama undercard kwenye pambano kubwa la Amir Khan. Hii ni level nyingine. Achana na link ulizoweka... hiyo ni mikanda na mapigano ya uchochoroni! Eti mkanda wa GBC! Huu mkanda hata fake za mchina zina nafuu! Mikanda inayotambuliwa na mabingwa wa ngumi na yenye mabondia wa ukweli iko minne tu: WBA, IBF, WBO na WBC. Kuichukua hii iko shughuli. Jamaa akijitahidi anaweza kupata nafasi ya kuipigania.wacha upumbavu kuna wtanzania kibao wamewahi kushikilia mataji ya Dunia!
Excitement as TZ boxer wins GBC world belt
Cheka to defend title on X-mass day+ Francis Cheka
Wacha kuropokaHuyu bado hajachukua mkanda wowote lakini platform aliyopigania ni ya kimataifa na ni level ambayo hakuna bondia mwingine ameshaifikia. Kuonekana live pambano linalorushwa na channel ya Sky si mchezo. Na ukumbuke amepigana kama undercard kwenye pambano kubwa la Amir Khan. Hii ni level nyingine. Achana na link ulizoweka... hiyo ni mikanda na mapigano ya uchochoroni! Eti mkanda wa GBC! Huu mkanda hata fake za mchina zina nafuu! Mikanda inayotambuliwa na mabingwa wa ngumi na yenye mabondia wa ukweli iko minne tu: WBA, IBF, WBO na WBC. Kuichukua hii iko shughuli. Jamaa akijitahidi anaweza kupata nafasi ya kuipigania.
Tanzania ndio kwao mkuu, asili yake ni Tanga na DSM tunashinda nae tabata, Tanzania lazima arudi tuAkae hukohuko asirud bongo akirud tu amekwisha kindondi
Hhhmm!!! Huyu mkalimani analeta usungura, anamuharibia mwenzie, jamaa alijibu maswali kiprofeshno kabisa, yeye anakuja kujibu kimasau bwire!Bondia wetu ajitahidi sana kujifunza kiingereza la sivyo Mkalimani Wa huyu bondia wetu atafanya wote waonekane wahuni tu. Haiwezekani mkalimani awe anatafsiri vitu ambavyo bosi wake hajasema
View attachment 861793
Akaunti ya Mkalimani wa Mwakinyo
Alikuwa pia ni mbongo movie l think...Mkalimani wa huyu jamaa nishamjua anajiita Chidi Mzee wa Mbele huko insta, kazingua sana
Mdigo wa tangaKabila gani?