Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo(23) amchakaza mzungu

Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo(23) amchakaza mzungu

Nimeona video kwenye whastp ila yule mkalimani wake, kampoteza sana.
 
Heading yako imekaa kiubaguzi wa rangi!
 
Bondia wetu ajitahidi sana kujifunza kiingereza la sivyo Mkalimani Wa huyu bondia wetu atafanya wote waonekane wahuni tu. Haiwezekani mkalimani awe anatafsiri vitu ambavyo bosi wake hajasema

View attachment 861793
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nimecheka sana aiseee
 
Huyo mtanzania ni shujaa. Hana uwoga uwoga kama ya wengine wao humu jf
 
Huyo mtanzania ni shujaa. Hana uwoga uwoga kama ya wengine wao humu jf
Samahani huyu kwasababu ameshinda ni kutoka East Africa, ile angepigwa angekua mtanzania [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom