Bongo bwana, yaani walioingia Shirikisho - Losers wanashangilia na kutukana utadhani wamefuzu Ligi ya Mabingwa

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye Kombe la Losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate 'attention', yaani unashangilia hadi unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers?

Nyie kweli kiboko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye kombe la losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate attention, yaani unashangilia had unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers? Nyie kweli kiboko.

Mgumba kashika mimba uzeeni basi anatembea na kikopo cha mate mtaa mzima.
 
Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye kombe la losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate attention, yaani unashangilia had unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers? Nyie kweli kiboko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?

Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!

Let them enjoy bhana! Life is too short
 
Acha basi uliona mpira wa Nyasa b wewe?.utalinganisha na hao waarabu wa kijijini kwao Nabi?
 
Hivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?

Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!

Let them enjoy bhana! Life is too short
Mhhh hapa unaandika kiushabiki. Ngoja ufurahi kwanza furaha yako tusikuweekee shubiri
 
Mmetufunga lini mkuu?
Kwa mara ya mwisho tumewafunga mwaka huu wa 2022 kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi! aka Kwenye Mchezo wa Ngao ya Jamii.

Huku nyinyi mkishinda kwa mara ya mwisho kule Kigoma! Sijui ilikuwa ni mwaka gani vile!! 🤔
 
Yani nyie bana mnachekesha sana. Kweli Simba inawapa kihoro mkiifunga mnajisifia mwaka mzima😀😀😀😀😀
 
Hao waarabu wa bukene wenyewe ata mpira hawajui
Hao unaowaita waarabu wa Bukene na kwamba hawajui mpira, wamefungwa na YANGA iliyowagunga nyie ambao mnajiita mnajua mpira. Yaani ukiona aliyemfunga kbonde KAKUFUNGA na wewe, BASI JUA NA WEWE NI KIBONDE KAMA KIBONDE WA KWANZA
 
ITAKUWA HATA LIGI MMESAHAU KAMA MNASHIRIKI..!! Kwahiyo si ushakumbuka kwamba mlipigwa?
Hyo kupigwa mbona kawaida? Wala sio ishu wala sio habari. Kama nyie mmepigwa kuna la ajabu hapo? Mpira unachezwa bila kupiga na kupigwa mabao kweli? Ligi bado changa hii haina hta mechi 10 ipo mdomoni bado
 
Back
Top Bottom