Bongo bwana, yaani walioingia Shirikisho - Losers wanashangilia na kutukana utadhani wamefuzu Ligi ya Mabingwa

Sasa kila siku upigwe wewe..!!
Na nani? Hiyo kila siku ni miaka mingapi? Hyo kila siku ni siku ngapi ktk juma au ni siku ngapi katk mwaka.? Yani mechi mbili ndo useme kila siku? Mbona unatumia vibaya siku mkuu?
 
Hatimaye umekumbuka kwamba ni mechi mbili..!! Mwanzo ulijitoa akili ujuwe kwamba eti hukumbuki
 
Ukiwa na akili timamu utagundua wanachoshaingilia Yanga sio kuingia hatua ya makundi. Wanalipiza masimango ya kabla ya mechi vile watu walivyowatabiria kipigo cha aibu.

UKIWA NA AKILI TIMAMU LAKINI.
Kuna mwenye akili timamu kule sasa?
 
Hivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?

Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!

Let them enjoy bhana! Life is too short
Simba alimtoa zamalek kule egypt tena akiwa bingwa mtetezi. Pengine ulikuwa mtoto miaka hiyo ya mwanzoni mwa 2000s. Tena ilikuwa ligi ya mabingwa na sio hilo kombe la loosers.
 
Ukiwa na akili timamu utagundua wanachoshaingilia Yanga sio kuingia hatua ya makundi. Wanalipiza masimango ya kabla ya mechi vile watu walivyowatabiria kipigo cha aibu.

UKIWA NA AKILI TIMAMU LAKINI.
Kwakweli hii ni kwaajili ya wenye akili timamu tu.
 
Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye kombe la losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate attention, yaani unashangilia hadi unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers?

Nyie kweli kiboko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye kombe la losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate attention, yaani unashangilia hadi unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers?[emoji23]
 
Tarehe 13/08/2022 Yanga 2-1 Simba
Sawa
images%20(1).jpg
 
Ukiwa na akili timamu utagundua wanachoshaingilia Yanga sio kuingia hatua ya makundi. Wanalipiza masimango ya kabla ya mechi vile watu walivyowatabiria kipigo cha aibu.

UKIWA NA AKILI TIMAMU LAKINI.
NAKAZIA.
 
Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye kombe la losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate attention, yaani unashangilia hadi unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers?

Nyie kweli kiboko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mliongea maneno mengi mkayamaliza kwamba awawezi kufuzu sasa wanawaonyesha ya kuwa muwe na akiba ya maneno sio kuwa mnapuyanga kama walevi wa kimpumu, mlitegemea wafanyaje? Kwanini muumie
 
Makasuku! Wanaenda na beat [emoji23][emoji23]
 
Ndo kawaida ya masikin akipata hulia mbwata
Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye kombe la losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate attention, yaani unashangilia hadi unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers?

Nyie kweli kiboko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Simba hijawahi kuwaogopa waarabu labda utakuwa mtt mdogo
Hivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?

Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!

Let them enjoy bhana! Life is too short
 
Kwel mmewehuka mpaka umemkumbuka kapumbu
Mliongea maneno mengi mkayamaliza kwamba awawezi kufuzu sasa wanawaonyesha ya kuwa muwe na akiba ya maneno sio kuwa mnapuyanga kama walevi wa kimpumu, mlitegemea wafanyaje? Kwanini muumie
 
Acha basi uliona mpira wa Nyasa b wewe?.utalinganisha na hao waarabu wa kijijini kwao Nabi?
Yaani hizi kelele zote wamesababisha wale zalan wangepangiwa team tofauti na ile basi hizi kelele usingezisikia leo
 
Hivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?

Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!

Let them enjoy bhana! Life is too short
Yaani simba angekutana na zalan wale simba angepigwa nje ndani wale jamaa wanapiga mpira wa world cup sema mwananchi kampiga nje ndani dar es Salam young African team bora kwa sasa zalan wamecheza fainali ya Caf confederation cup last season hongera kwa yanga.
 
Simba alimtoa zamalek kule egypt tena akiwa bingwa mtetezi. Pengine ulikuwa mtoto miaka hiyo ya mwanzoni mwa 2000s. Tena ilikuwa ligi ya mabingwa na sio hilo kombe la loosers.
Sawa watu wazima! Mimi kweli nilikuwa mtoto. Tuje sasa kwenye mada; hiyo timu yako ilimtoa huyo Zamaleki kwa ushindi wa goli ngapi kwenye ardhi yao? Yanga amemtoa Club Africaines kwa ushindi wa goli 0-1!

Maana kama ni kwa mikwaju ya penati, basi mkubali tu huo ni ushindi wa kubahatisha. Hata Yanga angeweza kumtoa Bingwa mtetezi Al Ahly miaka kadhaa iliyopita, kama Said Bahanuzi asingekosa penati ya mwisho.
 
Yani nyie bana mnachekesha sana. Kweli Simba inawapa kihoro mkiifunga mnajisifia mwaka mzima😀😀😀😀😀
Nyinyi ni ngoma yetu ya mdundiko. Tukiamua, tunajipigia tu. Wala hatuna sababu ya kujisifia mwaka mzima. Kuku ni wa kwetu wenyewe! Manati ya nini? Ushindi kwenu utabakia sare siku zote.
 
Back
Top Bottom