Bongo bwana, yaani walioingia Shirikisho - Losers wanashangilia na kutukana utadhani wamefuzu Ligi ya Mabingwa

Bongo bwana, yaani walioingia Shirikisho - Losers wanashangilia na kutukana utadhani wamefuzu Ligi ya Mabingwa

Hivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?

Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!

Let them enjoy bhana! Life is too short
Kuna waarabu na kuna Punjiri, wale ni Punjiri

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu inaitwa losers sijaielewa maana yake. Huyu muhimu ana maana gani?
 
Sawa watu wazima! Mimi kweli nilikuwa mtoto. Tuje sasa kwenye mada; hiyo timu yako ilimtoa huyo Zamaleki kwa ushindi wa goli ngapi kwenye ardhi yao? Yanga amemtoa Club Africaines kwa ushindi wa goli 0-1!

Maana kama ni kwa mikwaju ya penati, basi mkubali tu huo ni ushindi wa kubahatisha. Hata Yanga angeweza kumtoa Bingwa mtetezi Al Ahly miaka kadhaa iliyopita, kama Said Bahanuzi asingekosa penati ya mwisho.
Achana nao mkuu, watakuumiza kichwa
Hapo walipo Wana maumivu makali, maana wanajua kwenye ligi hawapati kitu na huko wanapojisifia mwisho wao wanajua, wanapunguza maumivu
 
Sasa kama waarabu ni vibonde na tumewafunga, na nyie simba si tuliwafunga..!! Itaneni vibonde lakini wote nyie tumewapelekea moto
Kwani simba hajawahi kumkojolea yanga? Mbona mara nyingi tuu
 
Ukiwa na akili timamu utagundua wanachoshaingilia Yanga sio kuingia hatua ya makundi. Wanalipiza masimango ya kabla ya mechi vile watu walivyowatabiria kipigo cha aibu.

UKIWA NA AKILI TIMAMU LAKINI.
Shida ni kwenye huo mstari wa mwisho.
 
Nyinyi ni ngoma yetu ya mdundiko. Tukiamua, tunajipigia tu. Wala hatuna sababu ya kujisifia mwaka mzima. Kuku ni wa kwetu wenyewe! Manati ya nini? Ushindi kwenu utabakia sare siku zote.
Mngekua mnaona ni kawaida msingekua mnarefer daily yani mpk masikio yameover load hizo jigambo zenu mmekua kama kumfunga Simba ni ishu kubwa sana kwenu. Kuna uzi kule nimekuita mbona hujasema lolote?.
 
Hili linadhihirisha utoto wako?hukumbuki Brazil 1994 alichukua world cup mbele ya Italy kwa penalty????
Sawa watu wazima! Mimi kweli nilikuwa mtoto. Tuje sasa kwenye mada; hiyo timu yako ilimtoa huyo Zamaleki kwa ushindi wa goli ngapi kwenye ardhi yao? Yanga amemtoa Club Africaines kwa ushindi wa goli 0-1!

Maana kama ni kwa mikwaju ya penati, basi mkubali tu huo ni ushindi wa kubahatisha. Hata Yanga angeweza kumtoa Bingwa mtetezi Al Ahly miaka kadhaa iliyopita, kama Said Bahanuzi asingekosa penati ya mwisho.
 
Sawa watu wazima! Mimi kweli nilikuwa mtoto. Tuje sasa kwenye mada; hiyo timu yako ilimtoa huyo Zamaleki kwa ushindi wa goli ngapi kwenye ardhi yao? Yanga amemtoa Club Africaines kwa ushindi wa goli 0-1!

Maana kama ni kwa mikwaju ya penati, basi mkubali tu huo ni ushindi wa kubahatisha. Hata Yanga angeweza kumtoa Bingwa mtetezi Al Ahly miaka kadhaa iliyopita, kama Said Bahanuzi asingekosa penati ya mwisho.
Ukishatoa mwiko ndio utajua unachobwabwaja hakina mantiki,labda umevimbiwa mihogo
 
Simba alimtoa zamalek kule egypt tena akiwa bingwa mtetezi. Pengine ulikuwa mtoto miaka hiyo ya mwanzoni mwa 2000s. Tena ilikuwa ligi ya mabingwa na sio hilo kombe la loosers.
Alivyomtoa zamalek halafu akawa yeye bingwa na kombe akachukua ?
 
Mliongea maneno mengi mkayamaliza kwamba awawezi kufuzu sasa wanawaonyesha ya kuwa muwe na akiba ya maneno sio kuwa mnapuyanga kama walevi wa kimpumu, mlitegemea wafanyaje? Kwanini muumie
Hizo zote ni aibu tu zimewashika wanachutama tu huku wanapiga kelele
 
Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye Kombe la Losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate 'attention', yaani unashangilia hadi unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers?

Nyie kweli kiboko.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
yanga lazima wafanye mbwembwe kwakuwa simba mlitukana sana
 
Kwa mara ya mwisho tumewafunga mwaka huu wa 2022 kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi! aka Kwenye Mchezo wa Ngao ya Jamii.

Huku nyinyi mkishinda kwa mara ya mwisho kule Kigoma! Sijui ilikuwa ni mwaka gani vile!! [emoji848]
Sema we kizee sijui ni kitoto una unaz wa kiboya Sana.
Kila siku mnajinadi mnaifunga Simba ,sijui huo ujinga mnaotaka kujiaminisha mmetoa wapi.
Sikumbuki kwenye ligi Mara ya mwisho mmetufunga ni lini.
Zaidi mmetufunga kwenye Ngao ,huku na nyie mkifungwa pale kigoma moja bila ,Ila kelele Sasa mlizonazo as if kila tukikutana mnatufunga.
Kibaya Zaid kila tukikutana anayeponea chupchup ni nyie yanga kuanzia kitakwimu mnazidiwa na Simba ajabu nyie ndo mnatamba .
Kwa lugha nyepes ni kwamba mshajua Simba ni kubwa kwenu so hata mkitoa nao draw kwenu ni ushind tosha coz hata Barcelona anafungwa au kutoa draw na osasuna ,hamna utofaut na osasuna manaa nao furaha yao ni kumfunga au kutoa draw na Barca hicho ndio kichaka Chao.
 
Na nani? Hiyo kila siku ni miaka mingapi? Hyo kila siku ni siku ngapi ktk juma au ni siku ngapi katk mwaka.? Yani mechi mbili ndo useme kila siku? Mbona unatumia vibaya siku mkuu?
Achana nao hao vilaza ,yaan wanavyoongea unaweza dhani wanaifunga Simba kila wanapokutana.
Mechi ya juz tu walizidiwa kila kitu na kutaman mpira uishe .
Sikumbuki ni lini yanga ilimzid Simba kitakwimu pale wanapokutana .
Pia sikumbuki ni lini yanga kamfunga Simba kwenye ligi ukitoa fa ambayo naweza sema ni ufunguz wa lig .
Yaan Hawa Jamaa ni vilaza wa kutupwa wamejificha kwenye ujinga oooh tunawapiga kila cku ,unaijua kila cku wewe mavi
 
Back
Top Bottom