Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mgumba kashika mimba uzeeni basi anatembea na kikopo cha mate mtaa mzima.Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye kombe la losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate attention, yaani unashangilia had unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers? Nyie kweli kiboko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?Simba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye kombe la losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate attention, yaani unashangilia had unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers? Nyie kweli kiboko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Acha basi uliona mpira wa Nyasa b wewe?.utalinganisha na hao waarabu wa kijijini kwao Nabi?Hivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?
Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!
Let them enjoy bhana! Life is too short
Kwamba tutakula zile saba za kizenji..!!Wanashangilia masimango yenu maana mlisema mengi
Mhhh hapa unaandika kiushabiki. Ngoja ufurahi kwanza furaha yako tusikuweekee shubiriHivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?
Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!
Let them enjoy bhana! Life is too short
Sasa kama waarabu ni vibonde na tumewafunga, na nyie simba si tuliwafunga..!! Itaneni vibonde lakini wote nyie tumewapelekea motoAcha basi uliona mpira wa Nyasa b wewe?.utalinganisha na hao waarabu wa kijijini kwao Nabi?
Mmetufunga lini mkuu?Sasa kama waarabu ni vibonde na tumewafunga, na nyie simba si tuliwafunga..!! Itaneni vibonde lakini wote nyie tumewapelekea moto
Ushasahau mara hii??? Kwamba kule Kigoma mlishinda nyie?Mmetufunga lini mkuu?
Kwa mara ya mwisho tumewafunga mwaka huu wa 2022 kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi! aka Kwenye Mchezo wa Ngao ya Jamii.Mmetufunga lini mkuu?
Yani nyie bana mnachekesha sana. Kweli Simba inawapa kihoro mkiifunga mnajisifia mwaka mzimaπππππKwa mara ya mwisho tumewafunga mwaka huu wa 2022 kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi! aka Kwenye Mchezo wa Ngao ya Jamii.
Huku nyinyi mkishinda kwa mara ya mwisho kule Kigoma! Sijui ilikuwa ni mwaka gani vile!! π€
Hao unaowaita waarabu wa Bukene na kwamba hawajui mpira, wamefungwa na YANGA iliyowagunga nyie ambao mnajiita mnajua mpira. Yaani ukiona aliyemfunga kbonde KAKUFUNGA na wewe, BASI JUA NA WEWE NI KIBONDE KAMA KIBONDE WA KWANZAHao waarabu wa bukene wenyewe ata mpira hawajui
Jinsi ambavyo hiyo kwetu sio issue kubwa ndo maana tunasahauUshasahau mara hii??? Kwamba kule Kigoma mlishinda nyie?
ITAKUWA HATA LIGI MMESAHAU KAMA MNASHIRIKI..!! Kwahiyo si ushakumbuka kwamba mlipigwa?Jinsi ambavyo hiyo kwetu sio issue kubwa ndo maana tunasahau
Hyo kupigwa mbona kawaida? Wala sio ishu wala sio habari. Kama nyie mmepigwa kuna la ajabu hapo? Mpira unachezwa bila kupiga na kupigwa mabao kweli? Ligi bado changa hii haina hta mechi 10 ipo mdomoni badoITAKUWA HATA LIGI MMESAHAU KAMA MNASHIRIKI..!! Kwahiyo si ushakumbuka kwamba mlipigwa?
Sasa kila siku upigwe wewe..!!Hyo kupigwa mbona kawaida? Wala sio ishu wala sio habari. Kama nyie mmepigwa kuna la ajabu hapo? Mpira unachezwa bila kupiga na kupigwa mabao kweli?