Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
- Thread starter
-
- #41
Kuna waarabu na kuna Punjiri, wale ni PunjiriHivi katika hali ya kawaida kabisa! Unafuzu hiyo hatua kwa kuwafunga vibonde kama Nyasa Big Bullets na De Agosto! Huo ujasiri wa kushangilia, unaupata wapi?
Lakini wananchi wamewaondoa Waarabu, ambao mnawaogopa kweli kweli! Tena wameenda kufungwa nyumbani kwao! Jambo ambalo hata nyinyi hamkuwahi kulifanya!
Let them enjoy bhana! Life is too short
Achana nao mkuu, watakuumiza kichwaSawa watu wazima! Mimi kweli nilikuwa mtoto. Tuje sasa kwenye mada; hiyo timu yako ilimtoa huyo Zamaleki kwa ushindi wa goli ngapi kwenye ardhi yao? Yanga amemtoa Club Africaines kwa ushindi wa goli 0-1!
Maana kama ni kwa mikwaju ya penati, basi mkubali tu huo ni ushindi wa kubahatisha. Hata Yanga angeweza kumtoa Bingwa mtetezi Al Ahly miaka kadhaa iliyopita, kama Said Bahanuzi asingekosa penati ya mwisho.
Mabingwa wa caf champions league 1991-1992,kua na adabu na mpira
Kwani simba hajawahi kumkojolea yanga? Mbona mara nyingi tuuSasa kama waarabu ni vibonde na tumewafunga, na nyie simba si tuliwafunga..!! Itaneni vibonde lakini wote nyie tumewapelekea moto
Shida ni kwenye huo mstari wa mwisho.Ukiwa na akili timamu utagundua wanachoshaingilia Yanga sio kuingia hatua ya makundi. Wanalipiza masimango ya kabla ya mechi vile watu walivyowatabiria kipigo cha aibu.
UKIWA NA AKILI TIMAMU LAKINI.
Mngekua mnaona ni kawaida msingekua mnarefer daily yani mpk masikio yameover load hizo jigambo zenu mmekua kama kumfunga Simba ni ishu kubwa sana kwenu. Kuna uzi kule nimekuita mbona hujasema lolote?.Nyinyi ni ngoma yetu ya mdundiko. Tukiamua, tunajipigia tu. Wala hatuna sababu ya kujisifia mwaka mzima. Kuku ni wa kwetu wenyewe! Manati ya nini? Ushindi kwenu utabakia sare siku zote.
Mlishawahi kuwafunga kwenye ardhi yao, kama walivyofanya kaka zenu wa Yanga? Maana mimi nakumbuka tu zile khamsa khamsa!!
Sawa watu wazima! Mimi kweli nilikuwa mtoto. Tuje sasa kwenye mada; hiyo timu yako ilimtoa huyo Zamaleki kwa ushindi wa goli ngapi kwenye ardhi yao? Yanga amemtoa Club Africaines kwa ushindi wa goli 0-1!
Maana kama ni kwa mikwaju ya penati, basi mkubali tu huo ni ushindi wa kubahatisha. Hata Yanga angeweza kumtoa Bingwa mtetezi Al Ahly miaka kadhaa iliyopita, kama Said Bahanuzi asingekosa penati ya mwisho.
Refa akiwa mchezaji wa 12Sasa kama waarabu ni vibonde na tumewafunga, na nyie simba si tuliwafunga..!! Itaneni vibonde lakini wote nyie tumewapelekea moto
Ukishatoa mwiko ndio utajua unachobwabwaja hakina mantiki,labda umevimbiwa mihogoSawa watu wazima! Mimi kweli nilikuwa mtoto. Tuje sasa kwenye mada; hiyo timu yako ilimtoa huyo Zamaleki kwa ushindi wa goli ngapi kwenye ardhi yao? Yanga amemtoa Club Africaines kwa ushindi wa goli 0-1!
Maana kama ni kwa mikwaju ya penati, basi mkubali tu huo ni ushindi wa kubahatisha. Hata Yanga angeweza kumtoa Bingwa mtetezi Al Ahly miaka kadhaa iliyopita, kama Said Bahanuzi asingekosa penati ya mwisho.
Hana akili huyuHili linadhihirisha utoto wako?hukumbuki Brazil 1994 alichukua world cup mbele ya Italy kwa penalty????
Hiyo awamu ya Magufuli 4-2 hizo goli 2 Uto walizitoa wapi?
Basi umri wako ni mdogo sanaMlishawahi kuwafunga kwenye ardhi yao, kama walivyofanya kaka zenu wa Yanga? Maana mimi nakumbuka tu zile khamsa khamsa!!
Alivyomtoa zamalek halafu akawa yeye bingwa na kombe akachukua ?Simba alimtoa zamalek kule egypt tena akiwa bingwa mtetezi. Pengine ulikuwa mtoto miaka hiyo ya mwanzoni mwa 2000s. Tena ilikuwa ligi ya mabingwa na sio hilo kombe la loosers.
Hizo zote ni aibu tu zimewashika wanachutama tu huku wanapiga keleleMliongea maneno mengi mkayamaliza kwamba awawezi kufuzu sasa wanawaonyesha ya kuwa muwe na akiba ya maneno sio kuwa mnapuyanga kama walevi wa kimpumu, mlitegemea wafanyaje? Kwanini muumie
yanga lazima wafanye mbwembwe kwakuwa simba mlitukana sanaSimba wamefuzu hatua ya makundi na mbwembwe hazikuwa kubwa sana kwa sababu ni kawaida yetu, sasa nashangaa Yanga kufuzu kwenye Kombe la Losers wamejichelewesha makusudi kurud bongo ili wapate 'attention', yaani unashangilia hadi unawehuka kwa kufuzu makundi ya losers?
Nyie kweli kiboko.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Sema we kizee sijui ni kitoto una unaz wa kiboya Sana.Kwa mara ya mwisho tumewafunga mwaka huu wa 2022 kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi! aka Kwenye Mchezo wa Ngao ya Jamii.
Huku nyinyi mkishinda kwa mara ya mwisho kule Kigoma! Sijui ilikuwa ni mwaka gani vile!! [emoji848]
Achana nao hao vilaza ,yaan wanavyoongea unaweza dhani wanaifunga Simba kila wanapokutana.Na nani? Hiyo kila siku ni miaka mingapi? Hyo kila siku ni siku ngapi ktk juma au ni siku ngapi katk mwaka.? Yani mechi mbili ndo useme kila siku? Mbona unatumia vibaya siku mkuu?
Hauna tofauti na Popoma GentaMhhh hapa unaandika kiushabiki. Ngoja ufurahi kwanza furaha yako tusikuweekee shubiri