Bongo bwana, yaani walioingia Shirikisho - Losers wanashangilia na kutukana utadhani wamefuzu Ligi ya Mabingwa

Ukiwa na akili timamu utagundua wanachoshaingilia Yanga sio kuingia hatua ya makundi. Wanalipiza masimango ya kabla ya mechi vile watu walivyowatabiria kipigo cha aibu.

UKIWA NA AKILI TIMAMU LAKINI.
Aliyekuwa anawatabiria yanga mabaya baada ya mechi ya kwanza ni washabiki hao hao ambao walijazana airport
 
Ila shirikisho sio kombe la loser sawa?
 
 
Hili linadhihirisha utoto wako?hukumbuki Brazil 1994 alichukua world cup mbele ya Italy kwa penalty????
Tatizo lenu ni kukurupuka! Mimi nimesema Yanga mdiyo timu ya kwanza kutokea Tanzania kumfunga Mwarabu kwenye ardhi yake ya nyumbani!
Nyinyi mnakuja na porojo za timu yenu kuitoa Zamaleki! Sijui Brazil kuchukua world cup!


Yaani mnajifanya mna akili, halafu mnashindwa kutofautisha kati ya ushindi wa magoli ndani ya dakika 90, dhidi ya ule wa changamoto ya mikwaju ya penati.
 
Kwan Zamalek alifungwa wap we utopolo
Mbona hamtaki kutaja idadi ya magoli! Badala yake mnatukana tu!

Hao Zamalek mliwafunga goli ngapi kwao? Yanga amemfunga Club Africaine 0-1 na kumtoa rasmi kwenye harakati za kuingia hatua ya makundi!
 
Wewe una akili kweli?unanipa wasiwasi sasa basi simba walifungwa na zamalek [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli pale wenye akili wawili tu.


Ushindi wa penat sio ushindi?
Dah,nchi ngumu kweli kweli.....
 

Nakukumbusha tu,
1° De Agosto wapo nafasi ya 28 katika rank ya vilabu bora barani Africa

Club Africain wapo nafasi 47, Yanga nafasi ya 74

Mpaka hapo unaweza kuelewa ipi ilikuwa mechi ya vibonde
 
Nakukumbusha tu,
1° De Agosto wapo nafasi ya 28 katika rank ya vilabu bora barani Africa

Club Africain wapo nafasi 47, Yanga nafasi ya 74

Mpaka hapo unaweza kuelewa ipi ilikuwa mechi ya vibonde
Unadhani wanaelewa sasa? Tuwaombee mwiko utoke nyuma.
 
Wewe una akili kweli?unanipa wasiwasi sasa basi simba walifungwa na zamalek [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli pale wenye akili wawili tu.


Ushindi wa penat sio ushindi?
Dah,nchi ngumu kweli kweli.....

Kwa hiyo kama Said Bahanuzi angefunga kwenye ile penati ya mwisho kule Misri, ungesema Yanga wameifunga Al Ahly!!

Au ungesema Yanga imefuzu hatua inayofuata kwa kuitoa Al Ahly kupitia mikwaju ya penati? Vijana wa siku hizi ujuaji mwingi, halafu kichwani hamna kitu.
 
Kati ya Zalan na nyasa big bullet nani kibonde
 
footbal is all about fun mkuu. mtu mwenye akili timamu hawezi kumpangia mtu mwingine mwenye akili timamu namna ya kufurahia jambo au kuhuzunika
siyo kila kitu lazima kilinganishwe.... sote tunajua kuna washambuliaji tena wakubwa tu wanafunga magoli na hawashangilii wengine wanavua mpaka mashati
 
Baeleezee wanakera na hyo ya kupiga kila siku yani wanaigana kila mtu akija point ni hyo hyo. Mfano leo pia wamempiga simba,jana wamempiga simba maana ndo definition ya kila siku hyo.
 
Moja ya historia maya na isiyofutika ni tukio la kuwanga hadharani tena katikati ya uwanja. Sasa hayo yote ni ya nn ikiwa kombe lenyewe ni la losers?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…