BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄 nyie ndiyo mnazichakaza fedhaMbona hizo ziko poa. Njoo hapa nauza mkaa nikupe chenji utafurahi na roho yako.
Absolutely bado sana ustaarabuustaarabu bado ni tatizo Tanzania yetu
Kuna hali Fulani ikifika inakuwa too much hiyo hela ukiweka mfukoni inachanika kirahisi sanaPesa sio maua wala mapambo na inachakaa. Ukipata pesa usikae nayo fanya izunguke uzalishe nyingine.
noti inawekwa kwenye maziwa ya akina mama, inakunjwa kunjwa kwenye kanga, inawekwa kwenye kibubu na kuvutwa kwa mkasiustaarabu bado ni tatizo Tanzania yetu
sasa kama ndio iliyopo tuitupeJaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii.
View attachment 3051394![]()
Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
Inatatua tatizo?Pesa sio maua wala mapambo na inachakaa. Ukipata pesa usikae nayo fanya izunguke uzalishe nyingine.
😅😅Mbona hizo ziko poa. Njoo hapa nauza mkaa nikupe chenji utafurahi na roho yako.