Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo kuchakaa tu, dollar zina expire date pia.Nilipewa Dola 40 na rafiki yngu wa Nje ya Nchi nikapeleka bank nikabadirishe wakazikataa walisema zimechakaa
Wakati Hela zetu zilizo chakaa sana wanazipokea niliwqaza sana. Nikarudi Kwa jamaa nikamwambia nipe mpya hizi wamekataa kubadirisha wamesema zimechakaa. Akashangaa sana
Kwa Dar sehemu unayoweza kuchange dollar ya aina yoyote kuna bereau de change moja tu ipo mtaa wa zanaki pale nilichenji dollar zilizopita muda wake.