Bongo chenji tunazopeana ni kama tunakomoana

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Jaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii.



Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka ๐Ÿšฎ
 

Attachments

  • PXL_20240725_062803746.jpg
    3.4 MB · Views: 8
Ni dhahiri kabisa kina mama ndio wanaoongoza kuharibu pesa, imagine pesa vile inavyokunjwa kunjwa na kufungwa kwenye fundo la kanga, ama kuwekwa chini ya maziwa na joto la daslama unategemea itabaki kwenye upya wake? Achana na ndugu zetu wauza mkaa hiyo ndio habari nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ