Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo kuchakaa tu, dollar zina expire date pia.Nilipewa Dola 40 na rafiki yngu wa Nje ya Nchi nikapeleka bank nikabadirishe wakazikataa walisema zimechakaa
Wakati Hela zetu zilizo chakaa sana wanazipokea niliwqaza sana. Nikarudi Kwa jamaa nikamwambia nipe mpya hizi wamekataa kubadirisha wamesema zimechakaa. Akashangaa sana
Mgeni atajua hajui hii ndio bongo sasa ,,akishangaa sana unamuuliza pesa huko kwenu hazichakai? Hii itakuwa babu kubwa the Real bongoJaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii.
View attachment 3051394
Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
Nakutania boss we mtu mzitoMbona hizo ziko poa. Njoo hapa nauza mkaa nikupe chenji utafurahi na roho yako.
Unashika pesa unasikia hadi ukakasi kwenye menoJaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii.
View attachment 3051394
Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
Huwa najiuliza wale wanaopita na vispika mtaani wananunuwa pesa mbovu huwa wanazipeleka wapi na kwa matumizi gani?Hizo hela hazitakiwi kuwa kwenye mzunguko
Bora watengeneze za plastic maana makaratasi yamepitwa na wakati au kuna mchezo mchafu huko
Yaani zilikuwa ziwe recycled ila zinarudishwa kiaina
Jaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii.
View attachment 3051394
Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
Kwa kweli ni maajabu hata sielewiHuwa najiuliza wale wanaopita na vispika mtaani wananunuwa pesa mbovu huwa wanazipeleka wapi na kwa matumizi gani?
Au wapunguze makato tuhamie kwenye e-money paperless mwendo wa kuchanjaHizo hela hazitakiwi kuwa kwenye mzunguko
Bora watengeneze za plastic maana makaratasi yamepitwa na wakati au kuna mchezo mchafu huko
Yaani zilikuwa ziwe recycled ila zinarudishwa kiaina
HIYO NI KAZI YA BENKI KUU LAKINI HAWAJUI KAZI ZAO WANAUPIGA MWINGI NOTI ZOTE KUUKUU ZIKENDA BANK ZISIRUDI TENA LAKINI MPAKA PESA UNAONA KINYAAA>Jaribu kufikiria unafanya malipo kwa hela nzuri na safi afu unaturudishiwa chenji kama hii.
View attachment 3051394
Kwa Mgeni kutoka mataifa mengine anaweza kuona umemdharau kwa kumpa uchafu yaani Takataka 🚮
Ni wazo zuri sana ingawa fedha taslimu bado zitakuwepoAu wapunguze makato tuhamie kwenye e-money paperless mwendo wa kuchanja
Kama tungekuwa tunazitumia bila kuzikunjakunja, au kuziweka sehemu mbichi zenye unyevu, vumbi joto kali,mfukoni hadi tunazifua zingekuwa hazichakai kirahisi.Kuna hali Fulani ikifika inakuwa too much hiyo hela ukiweka mfukoni inachanika kirahisi sana
wanapeleka BOT wanabadilishiwa kwa thamani ile ile. Yaani kwako anachukua 1000/- mbovu kwa 200/- kule anapewa 1000/-Huwa najiuliza wale wanaopita na vispika mtaani wananunuwa pesa mbovu huwa wanazipeleka wapi na kwa matumizi gani?
Kumbe ni biashara nzuri! Acha nijiajiri hapawanapeleka BOT wanabadilishiwa kwa thamani ile ile. Yaani kwako anachukua 1000/- mbovu kwa 200/- kule anapewa 1000/-