Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Lugha yao ilikuwa na staha sana..sasa hivi mziki ni matusi ila zamani sio matusi yani umeweka double standard kwanini??
Dully Sykes anakuambia "nipe japo kiduchu nishachoka kupiga puchu"
KR Mulla anakuambia "we ukitaka tende chukua lakini .... unapanua"
unataka za Temba??
Hata zamani matusi yalikuwepo bwana tena ya wazi tu ila walichobarikiwa ni kwamba mashairi yao mpaka bado yanaishi tofauti na sasa.
Walitumia sanaa yao vizuri..
Sio hawa wa sasahivi wanachana waziwazi..
😀😀😀