Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

Nyimbo Ya Kwanza Kutambilishwa Alikibwa alitambulishwa mwaka 2002 kwenye Nyimbo ya Abbyskills na Mr Blue Inaitwa Maria..
Baada ya hapo Akitoa Nyimbo zake miaka ya 2004 Na 2005 ya Kutosha tu
Nyimbo ya kwanza au wimbo wa kwanza? Oldskool gani unakuwa hivi mkuu?
 
Hakuna mashaka hawa waliimba nyimbo zinaishi kuna mwamba anaitwa D knob ongezea jina lake
Ngoma zake
Ingewezekana ungekua wangu
Sauti gharama
Kitu gani
Bad man nk
Kuna bwana misosi najiuliza nitoke vipi
Pia roma mkatoliki
 
Vuvuzela Ilikuwa ya 2007 au 8 au na tisa kama Sikosei ..

Ila Clara ilikuwa 2003 ila sema tu amekuja Kutoka miaka ya 2020..

Na Zaidi alianza Kufahamika Baada ya Kujiunga na TMK wanaume Halisi
List bado, kama angekuwa fresh kama fresh ya bimbwi asingeweka list kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…