Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Inabidi niende tu no way nikishanunua nitamchana liveIshanitokea Mwenge miaka ya 2008-10 duka la nguo barabara ya tra, nilipenda kitu pale ila nilighairi manunuzi. Cha kufanya ni kuahirisha manunuzi aikose pesa yako. Uzuri/ubaya biashara za namna hii hazina maisha endelevu, mtafute miaka 3-5 baadae yupo chali, wachache sana wanaodumu kuvuka kizingiti hiki.
Unaelewa nini ukisikia "a bird at hand worthy two in bush"?umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!
Aisee mental health is real pole mkuu do not be bitter on yourself hicho unachopitia hauko peke yako seek help.Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta
Umeandika gazet nimesoma Hadi ulipoanza andika weye nikaacha naona Ni utumbo tuMaskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!
Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!
haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!
ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!
wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!
Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??
weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!
alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,
Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!
Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......
si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
Huyo Ni mswahili Hana anachojuaunaelewa nini ukisikia "a bird at hand worthy two in bush"?
Kabla haijawa lateaisee mental health is real pole mkuu do not be bitter on yourself hicho unachopitia hauko peke yako seek help.
Hta me nimeliona hilo au hajaelewa .🙄aisee mental health is real pole mkuu do not be bitter on yourself hicho unachopitia hauko peke yako seek help.
Mbona misemo ya kizamani sana hii wewe bado unaitumia sasa ngoja nikusaidie kwa walio iona haifai wakaachana nayo sikia....hata weye mwenyewe ukifikiria tu km ivi.....unaelewa nini ukisikia "a bird at hand worthy two in bush"?
Tafadhali wahi hospitali ya Mirembe upesi, naona afya yako ya akili sio nzuri.Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!
Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!
haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!
ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!
wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!
Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??
weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!
alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,
Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!
Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......
si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
Ni kawaida ya wapumbavu! hawajui kuwa utumbo ni chakula na ukichanganywa na Mtori!! mashallah!!Umeandika gazet nimesoma Hadi ulipoanza andika weye nikaacha naona Ni utumbo tu
Ndo majibu ya maskini wengi! mkija tuna wa damp tu! hiyo si dawa!Tafadhali wahi hospitali ya Mirembe upesi, naona afya yako ya akili sio nzuri.
Itakuwa Bon 2 ShineIshanitokea Mwenge miaka ya 2008-10 duka la nguo barabara ya tra, nilipenda kitu pale ila nilighairi manunuzi. Cha kufanya ni kuahirisha manunuzi aikose pesa yako. Uzuri/ubaya biashara za namna hii hazina maisha endelevu, mtafute miaka 3-5 baadae yupo chali, wachache sana wanaodumu kuvuka kizingiti hiki.
Rubbish too! poor!Rubbish
Hatuwataki bana! sawa walitoka huko kunako umaskini lkn sasa hawapo! huko umaskinini njooo nunua fuata sheria za pale siyo uje eti wewe mteja ni mfalme ulete huo ufalme kwangu nyoooo utakoma nakwambia!Wengi Tumetokea kwenye mashimo ya kimaskini hii ndo sababu.