Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Hatuwataki nyie Wateja Maskini wa uswahilini bana!! mnatusumbua/chafulia sana Maduka yetu halafu wengi wenu wezi tu!... sisi wafanya bishara tuna hirizi za utambuzi msituchukulie poa!

wa kujua nani mnunuzi na nani anatafuta kauli zetu ili watuibie! ana angalia weee! kila kona anashika hiki anaacha, mara kile sasa angalia jitu linakuwa na mi-avatar kibao! halijui kuwa tech. inakua kila siku,

uki print tu kwa kutumia finger print zile zile unajua huku, tunajua!...hili jamaa kama nalikumbuka hivi lilikuja lina maalama alama usoni hivi! na kiingereza kibovuuu! halafu lina rekord mbaya plaee Police Msimbazi!

Sisi wafanya biashara tuna shirikiana na polisi sana!! jitu la hovyo likija dukani mwangu nalijua tu then najiridhisha kwa kompyuter yangu siku hizi, ajili ya computer mambo ni rahisi sana!ni wewe tu!

Niamini mie wanao sumbua sana Mitaa ya Masaki ni wezi toka Mbagalla!..chanika, mlandizi nk!......na usijisumbue km uliwahi kamatwa na polisi usidhani wafanya bishara wakubwa hawakujui!
Unauza nini?
 
Kuna siku nimeenda dukani, muuzaji (anaonekana ndo owner) akaleta mahitaji yangu nikatoa pesa, ikawa inatakiwa irudi Cheji, akasema hana Chenji nirudishe baadhi ya Vitu ambavyo tayari nilikuwa nimeweka kwenye mfuko! nilishangaa sana ila nikamkazia nikamwambia sirudishi chochote tafuta chenji, akataka achukue mmoja wa mfuko nikamwambia jaribu kushika huu mfuko uone kitakachokutokea kama sijakumwaga ubongo hapa na kukuitia mwizi.... basi alivyoona nipo serious akaenda duka lingine akaomba chenji.... akanirudishia mm huyooooooo nikasepa.. ila ndo ashanipoteza sitorudi tena pale ingawa somo hilo nitaendelea kulitoa kwa wavivu wengine wasiojitambua kama yeye!!
Bongo mtu akishajenga kajumba kamoja na biashara anaona kamaliza anaanza dharau😁 Yani badala atafute chenchi Ni Bora urudishe bidhaa nusu
 
Yes! mie ni Mswahili ndiyo, hata siku moja sijawahi sema mie Mzungu! au kutamani kipande cha ardhi ya Ulaya ni wao wao hao unao waona bora wazungu wanakuja huku uswahilini kwa mbinde!

sasa nani Bora??? tatizo hukusoma! shule ndogo! si wende hata Gumbaru ndugu??, unalilia ufalme kwenye Biashara ya mtu? halafu unajiona mzima kweli! tena huyo mtu ni me km wewe. olewa nae basi eti ?? mweee!!

halafu unaambiwa ukweli unaropoka eti ni wagonjwa, weye ndo mgonjwa ila hujijui tu!... eti mzee mzima una nywele kabisa kila mahali unaleta uzi humu tukujadili weye kutamani bishara ya me mwenzio??!

alipo pata mtaji unapajua weye mpaka ukafanye ufalme pale??...utoke zako mazogoroni huko uje na tupesa twako twa mawazo hapo...kweeenda hukohuko uswahilini kwenu mbagalla. mnatauchafulia maduka yetu!

haya ni maeneo ya wasomi/matajiri/waelewa/madiasporas/wageni matajiri waliotosheka, hawana majungu ndo tunawataka tu! yaani matajiri wao wakija kununua utasikia , ''sorry' ''sorry' sorry............daaa raha sana.......

lkn Maskini akija mweee utasikia akijitambulisha Mimi NI dada yake na shangazi yake diwani wa G. Lamboto! rafiki mkubwa wa Meneja wa TRA!
Wahi Tiba mapema naona unazidi kuwa chakii
 
Hatuwataki nyie Wateja Maskini wa uswahilini bana!! mnatusumbua/chafulia sana Maduka yetu halafu wengi wenu wezi tu!... sisi wafanya bishara tuna hirizi za utambuzi msituchukulie poa!

wa kujua nani mnunuzi na nani anatafuta kauli zetu ili watuibie! ana angalia weee! kila kona anashika hiki anaacha, mara kile sasa angalia jitu linakuwa na mi-avatar kibao! halijui kuwa tech. inakua kila siku,

uki print tu kwa kutumia finger print zile zile unajua huku, tunajua!...hili jamaa kama nalikumbuka hivi lilikuja lina maalama alama usoni hivi! na kiingereza kibovuuu! halafu lina rekord mbaya plaee Police Msimbazi!

Sisi wafanya biashara tuna shirikiana na polisi sana!! jitu la hovyo likija dukani mwangu nalijua tu then najiridhisha kwa kompyuter yangu siku hizi, ajili ya computer mambo ni rahisi sana!ni wewe tu!

Niamini mie wanao sumbua sana Mitaa ya Masaki ni wezi toka Mbagalla!..chanika, mlandizi nk!......na usijisumbue km uliwahi kamatwa na polisi usidhani wafanya bishara wakubwa hawakujui!
We una duka? Labda unauza mnduku
 
Utopolo
 
Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!

Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!

haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!

ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!

wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!

Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??

weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!

alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,

Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!

Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......

si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
mouth breather! demonstrated a high degree of stupidity.
 
Unaandika kama una kipande cha ndizi matakoni
Basi unauzoefu nacho, ulijuaje?
Mkuu hivi vidada vilivyozamia Unguja vina dharau we acha tu.
Jamni mpumbavu si lazima udharauliwe tu!! ni ugonjwa kumheshimu mjinga!
Ushauri mzuri huyu jamaa comment zake nyingi hazieleweki.
NI kawaida akili kubwa km hizi kueleweka kwa akili ndogo, chunguza uone, na km mtu simple akinielewa ntajilaumu na kujiona bado sana, kamwe huwezi kuzielewa ndo maana watu wanafail mitihani na wengine wanafaulu!

hiyo ni kawaida, ukiona unaeleweka kirahisi kwa kila mburula basi ujue weye bado sana!! Numbisa upo hapo?
We una duka? Labda unauza mnduku
Na wewe mbona unao mkuu! unanionea wivu bure tu, njoo nikuunge mkuu baba! halafu raha sana kwanza maatizo yako madogo madogo yanaisha faster! kwani unanionea wivu bure tu!!

kwanza ulijuaje unauzwa km hauja wai uuza? au huo sasa hauna thamani sasa unanionea wivu mwenzako nina biashara hapa mweee! njoo in box!
ndiyo uukule sasa mkuu!
Wahi Tiba mapema naona unazidi kuwa chakii
Nimekukataza kurudia hili neno tiba kwenye avatar yako ile nyingine naona unalirudia tu!
biashara anaona kamaliza anaanza dharau
Mbona weye huna km yeye! tafuta kivyako usiangalie vya mwengine ndo siri ya mafanikio!
Umevurugwa asubuhi yote hii,dalili mbaya ya kunyimwa unyumba
Mkuu are you okay?
ok ipi kwa mfano!
Kuvurugwa inaonyesha ubinadamu wangu hawavurugwi wanyama mkuu hili nalo hujui?
 
Naona umemaliza Avatar zako zooote sasa!! umetusaidia kujua kuwa una avatars nyiiiingi!!! au bado unafungua nyengine mkuu!! ila Numbisa nilidhania ni kademu nikasarandie kuuumbe ni hugu gujamaa duuu!!

yaani kuwajua watu humu kuumbeni rahisi sana!.........hayaaaa funga kazi hiii
 
Chizi kaharibu uzi mzima
Naona umemaliza Avatar zako zooote sasa!! umetusaidia kujua kuwa una avatars nyiiiingi!!! au bado unafungua nyengine mkuu!! ila Numbisa nilidhania ni kademu nikasarandie kuuumbe ni hugu gujamaa duuu!!

yaani kuwajua watu humu kuumbeni rahisi sana!.........hayaaaa funga kazi hiii
 
Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!

Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!

haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!

ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!

wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!

Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??

weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!

alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,

Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!

Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......

si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
..Ni Wewe Nini?...
 
What a fool! Ajabu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee
Hili povu ni la Omo au Maq?
 
Nimeenda duka la simu ulizia kitu flani ..mwenye duka ashakua maarufu ndo Mana niliagiziwa pale, nimeshangaa Sana yuko busy na insta hanisikilizi Mara ana screenshot insta anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi

Hivi tutafika kweli kwa style hii? Kwamba duka kujaa vitu ana dharau elf30 yangu hivi wabongo kuwa na ka duka Cha spea za simu, simu mpya /used charger nk unaona Kama dunia yote yako daa...Imeniuma Sana.

Hivi matajiri wenzetu huko mambele na wenyewe wanadharau? Ile kukudharau sababu unanunua labda earphone za elf 5 hajui pesa ndogo na kubwa ndo zimemfanya afikie hapo kwa sasa
Weyey huna akili unajipendekeza kwenye duka la mutu bila kuitwa kweli huna kazi za kufanya??
 
Back
Top Bottom