Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
- Thread starter
-
- #201
Hamna camera hapo? Lodge yangu CCTV muda wote maongezi ya simu na reception yako recordedJana nimehama Lodge moja Ubungo kutokana na kukosekana kwa maji, niliwaarifu kwa simu mapokezi kwamba room yangu hakuna maji, nikaambiwa subiri, nikasubiri kwa dakika 7 nikapiga simu tena kuwakumbusha, nikajibiwa chukua ndoo hapo nje kinga maji room 111 au tumia room hiyohiyo kuoga, sikuamini masikio yangu kwa hadhi ya lodge ile, nikaenda mapokezi kujiridhisha namkuta mhudumu, binti amesuka rasta zake ameweka miguu juu ya sofa busy na simu hana time.
Camera zipo sana na ndiyo maana huwa napenda kufikia hapo, ila sidhani kama boss yupo makini kwenye mienendo ya watumishi wake, na huenda ana mahusiano zaidi ya kaziHamna camera hapo? Lodge yangu CCTV muda wote maongezi ya simu na reception yako recorded
Huyo Ni kumsema kwa boss wake
Siyo dhambi kwa sababu, Miongozo ya kazi, kuelimishana Kazini ni sehemu ya soga, km haitoshi Mungu alipoumba Dunia na vyote vilivyomo alifanya ile kazi kwa siku saita...Ni dhambi KWa sababu ofisi ama sehemu ya biashara ni mahali pa kufanya kazi ama kushughulika sio kupiga soga.....
na hapa umeandika tu😂Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!
Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!
haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!
ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!
wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!
Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??
weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!
alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,
Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!
Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......
si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
Umekaa kimajungu majungu!! sana weye zee! kila kitu kusema kusema tuuuu!! huwezi biashara weye zee!....huo ni uchawi tuHamna camera hapo? Lodge yangu CCTV muda wote maongezi ya simu na reception yako recorded
Huyo Ni kumsema kwa boss wake
Nimeshawahi fika duka wanauza vifaa vya mziki alikuepo Kama mwarabu sijui chotara Hana hata afya .nimefika dukani hakuna mtu nimesimama Hadi namuuliza jamaa mmoja dukani Yuko Nani ndo akamuita jamaa alikuwa kakaa kwenye benchi stori Sasa hata hajaja dukani ananiulizia kule kule et unataka nini nikamwambia njoo dukani Tena hapo nahasira kidogo nimwambie nataka mkund** akauliza Mara ya pili unataka nn nikamwambia huna akili acha ufala wewe afu nikaondoka zanguCamera zipo sana na ndiyo maana huwa napenda kufikia hapo, ila sidhani kama boss yupo makini kwenye mienendo ya watumishi wake, na huenda ana mahusiano zaidi ya kazi
Huyo hata simjibu nimeshabonyeza ignore button hajielewi hata afu tatizo Ni memkwa pia hajui kuandika Wala kusomana hapa umeandika tu😂
Mbona unaandika uchafuMaskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!
Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!
haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!
ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!
wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!
Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??
weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!
alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,
Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!
Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......
si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
ukute mtu ndo kaoa kichwa hicho katoa na mahar😂😂Huyo hata simjibu nimeshabonyeza ignore button hajielewi hata afu tatizo Ni memkwa pia hajui kuandika Wala kusoma
Hizi ni akili za wachunga ng'ombe!akauliza Mara ya pili unataka nn nikamwambia huna akili acha ufala wewe afu nikaondoka zangu
ukute mtu ndo kaoa kichwa hicho katoa na mahar😂😂
Uchawi upo ila chuma ulete haipo, acha kujificha kwenye kichaka cha dini ili kuficha ujinga wako.Chuma ulete ni uchawi! ...Mungu anaujua uchawi, mitume wa Mungu Musa , Paulnk, walirogwa, wewe nani useme uchawi wa chuma ulete haupo??,,,kama unasema uchawi wa chuma ulete haupo! basi weye si wa mfano wa Mungu!
kifupi unatumia akili za kuzimu hujui tu! na wale woote wa kuzimu hawakuumbwa kwa mfano wa Mungu aliye hai! wanasubiri ziwa la moto! sasa mtu wa kuchomwa moto unadania atasema nini??
kabixaDaaa nimecheka Sana asee wanaume tunapitia mengi mno huyo binti asaidiwe nitamfungulia thread yake
weye kila kitu kujichekesha tu una maatizo gani?? ukinifungulia uzi manake umenikubali mie kichwaDaaa nimecheka Sana asee wanaume tunapitia mengi mno huyo binti asaidiwe nitamfungulia thread yake
Alokwambia naumia kwa mganga kuyakamata malofa ni nani??Mganga akinufaika wewe unaumia nini?? wkt amekupa huduma!! ungesoma ungejua uongo wa mganga ndo pon pona yako!
Plzz usifananishe mkia wa mbuzi na huyo mwehu ..mkia wa mbuzi una thamani yake bana alaaaAlokwambia naumia kwa mganga kuyakamata malofa ni nani??
Kwahiyo wewe umesoma ukajua uongo wa mganga ndo pona yako??
We akili yako fupi kama mkia wa mbuzi, yaani unajua fika unadanganywa na bado unaamini hiyo ndo tiba??
Ni mwehu halafu mchawi na ogopa sana mchawi akiwa mwanamke aisee.Plzz usifananishe mkia wa mbuzi na huyo mwehu ..mkia wa mbuzi una thamani yake bana alaaa
Chuma ulete ni uchawi km ulivo uchawi mwingine usitudanganye!! mie najua kuwa najua sibahatishi!...Dini siyo kichaka km unavosema,... hakuna sehemu niliyo tamka Dini, labda km umekusudia kuropoka tu!Uchawi upo ila chuma ulete haipo, acha kujificha kwenye kichaka cha dini ili kuficha ujinga wako.
Mchawi ni yule aliye kudanganya yesu ni mzungu ukampigia makofiNi mwehu halafu mchawi na ogopa sana mchawi akiwa mwanamke aisee.
Unaandka halafu unasahau we mzee? kuumbe najibizana na kilaz flani ivi rudi kwenye mada then kalee wajikuu huko?Alokwambia naumia kwa mganga kuyakamata malofa ni nani??
Kwahiyo wewe umesoma ukajua uongo wa mganga ndo pona yako??
We akili yako fupi kama mkia wa mbuzi, yaani unajua fika unadanganywa na bado unaamini hiyo ndo tiba??