Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

mkuu smaki u are sick trust me
Every body suffer from psychiatric! you must keep dis in yo mind! even u as ma customer! you must not even a request abide with ma place law! wither you like it or not!
 
Kutotatua tatizo kwa haraka nalo ni tatizo jingine. Wahi hospitali
 
Huyo Ni mswahili Hana anachojua
Yes! mie ni Mswahili ndiyo, hata siku moja sijawahi sema mie Mzungu! au kutamani kipande cha ardhi ya Ulaya ni wao wao hao unao waona bora wazungu wanakuja huku uswahilini kwa mbinde!

sasa nani Bora??? tatizo hukusoma! shule ndogo! si wende hata Gumbaru ndugu??, unalilia ufalme kwenye Biashara ya mtu? halafu unajiona mzima kweli! tena huyo mtu ni me km wewe. olewa nae basi eti ?? mweee!!

halafu unaambiwa ukweli unaropoka eti ni wagonjwa, weye ndo mgonjwa ila hujijui tu!... eti mzee mzima una nywele kabisa kila mahali unaleta uzi humu tukujadili weye kutamani bishara ya me mwenzio??!

alipo pata mtaji unapajua weye mpaka ukafanye ufalme pale??...utoke zako mazogoroni huko uje na tupesa twako twa mawazo hapo...kweeenda hukohuko uswahilini kwenu mbagalla. mnatauchafulia maduka yetu!

haya ni maeneo ya wasomi/matajiri/waelewa/madiasporas/wageni matajiri waliotosheka, hawana majungu ndo tunawataka tu! yaani matajiri wao wakija kununua utasikia , ''sorry' ''sorry' sorry............daaa raha sana.......

lkn Maskini akija mweee utasikia akijitambulisha Mimi NI dada yake na shangazi yake diwani wa G. Lamboto! rafiki mkubwa wa Meneja wa TRA!
 
Unaandika kama una kipande cha ndizi matakoni
 
Kutotatua tatizo kwa haraka nalo ni tatizo jingine. Wahi hospitali
Huna jipyaaa! unarudia maneno yaleyale! avatar zilezile! akili ndogo! kamuombe Msamaha mwenye duka, Ili uwe salama vinginevo utakuafa maskini tu unalilia ufalme kwenye mali za watu tena dume zima bila aibu!


ungekuwa mdada tunge kusamehe sababu mnaolewa halafu dume zima una nywele kila mahali unajiona weye si mgonjwa wa akili??! wale wanao kuambia ukweli ndo wagonjwa wa akili??

Hata hujijui tu umetusaidia kujua mi avatar yako!
 
Naona unachokoza radi [emoji23][emoji23]
 
Nimeenda duka la simu ulizia kitu flani ..mwenye duka ashakua maarufu ndo Mana niliagiziwa pale, nimeshangaa Sana yuko busy na insta hanisikilizi Mara ana screenshot insta anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi
Kuna siku nimeenda dukani, muuzaji (anaonekana ndo owner) akaleta mahitaji yangu nikatoa pesa, ikawa inatakiwa irudi Cheji, akasema hana Chenji nirudishe baadhi ya Vitu ambavyo tayari nilikuwa nimeweka kwenye mfuko! nilishangaa sana ila nikamkazia nikamwambia sirudishi chochote tafuta chenji, akataka achukue mmoja wa mfuko nikamwambia jaribu kushika huu mfuko uone kitakachokutokea kama sijakumwaga ubongo hapa na kukuitia mwizi.... basi alivyoona nipo serious akaenda duka lingine akaomba chenji.... akanirudishia mm huyooooooo nikasepa.. ila ndo ashanipoteza sitorudi tena pale ingawa somo hilo nitaendelea kulitoa kwa wavivu wengine wasiojitambua kama yeye!!
 
Umenifurahisha mkuu mpaka nimepaliwa
 
Umeandika ushuzi
 
Ndugu mfanyabiashara mbona kama limekugusa sana? Nyie mkiwasema wateja ni sawa, ila nyie kusemwa hamtaki!!!
Hatuwataki nyie Wateja Maskini wa uswahilini bana!! mnatusumbua/chafulia sana Maduka yetu halafu wengi wenu wezi tu!... sisi wafanya bishara tuna hirizi za utambuzi msituchukulie poa!

wa kujua nani mnunuzi na nani anatafuta kauli zetu ili watuibie! ana angalia weee! kila kona anashika hiki anaacha, mara kile sasa angalia jitu linakuwa na mi-avatar kibao! halijui kuwa tech. inakua kila siku,

uki print tu kwa kutumia finger print zile zile unajua huku, tunajua!...hili jamaa kama nalikumbuka hivi lilikuja lina maalama alama usoni hivi! na kiingereza kibovuuu! halafu lina rekord mbaya plaee Police Msimbazi!

Sisi wafanya biashara tuna shirikiana na polisi sana!! jitu la hovyo likija dukani mwangu nalijua tu then najiridhisha kwa kompyuter yangu siku hizi, ajili ya computer mambo ni rahisi sana!ni wewe tu!

Niamini mie wanao sumbua sana Mitaa ya Masaki ni wezi toka Mbagalla!..chanika, mlandizi nk!......na usijisumbue km uliwahi kamatwa na polisi usidhani wafanya bishara wakubwa hawakujui!
 
Mkuu are you okay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…