Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

[emoji3] vitu vingine ni kucheka tuu, maana mtu anakasirika kukosolewa upuuzi wake. Hivi unaona upo sahihi? We ni mfanya biashara? Au umeajiriwa maana mtu kama ni biashara yako huwez fanya huo utumbo .....Acha uswahili Grow up my dear
Huyo mwehu msimjibu Tena just ignore post yake yoyote
 
Bana wee!! wabongo nyie tunawajua sana! wengine nyie si wateja! ni chuma ulete! mnatumia mwamvuli wa uteja! huyu mleta Mada ni wazi kabisa ni chuma ulete, sasa amastukiwa na mwenye Duka.

na asirudi pale make anatafuta kifo sasa! sie tuna wajua sana wabongo bana msitutishe! njaa kali nyie weee!
Kama huna huna tu, chuma ulete gani mkuu. Hivyo ni visingizio vya wasiojua hesabu kwenye biashara zao na wasioweka sawa rekodi za mapato na matumizi yao.
 
Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking!

Mana mizizi ya wivu sana wabingo nyie hasa mtu akiwa na kishavu dodo mnamuonea wivu wa kichawi chawi sana ....niamaini mimi mwana JF ukikua weye/zeeka utakuwa mchawi lazima!

haya haya!! ukifika Hospital unataka wanaotibiwa waachwe ila usikilizwe weye tu! wakikuacha kwanza, unakimbilia kwa diwani kushtaki! eti dr amenidharau! miafrica sijui mkoje hamana common sense!

ukikuta watu kwa foleni huyo unawavuka unataka kuwa wa kwanza weye!! daladala ndo kabisaaa!! lkn wengine tena nchi ndogo tu km Lesotho wateja wanapanga mstari!!

wa kwanza ndo wa kupewa kipaumbele hata iweje! wateja wenyewe wanajitaja wa kwanza yuleee braza , karibu upate huduma!! maujinga jinga haya yako Bongo/ kwa wabongo msiosoma!

Kitu kidoogo hiko!! unashindwa kuvumilia, by the way si una hela yako mkononi nenda kwingine kwani umelazimishwa kwenda kununua pale??? au ulitaka kumsiliba tu jamaa ajili ya wivu wako wa kukosa??

weye jamaa sidhani km unaweza oa, au kuishi na wasomi waliokuzidi, hela/maarifa.uzuri/urembo/usasa huwezi amini ivo! mnajulikana kirahisi tu! weye mtu humjui unam- cralify kijinga jinga tu! mwee! ndo bongo mlivo!

alikulazimisha kuwa ununue pale tuu??? Neno mteja Mfalme wabongo msiokuwa na akili lina walevya sana mmeshatamani afilisike!!! na kumombea mabaya,

Hafilisiki n'gooo! ndo atazidi kupanda ngazi ya utajiri na hamtakaa mumuone hapo Mazogoroni akisaga Lami kamwe saaana mtamuona akiwa juu na juu zaidi!! Nyau weye!.......ukimshika mkeo ugoni si utakufa kabla!!

Bila kujua kuwa ile ni mali yake! aweza tumia atakavyo!!......hutaki bwaga Manyanga kwani umelazimishwa??? JF ninzuri kwa sababu bila hii tusinge jua wajinga km weye!!......

si umeze sumu tu! km unaona hajakuchekea! mfyuuuuxcxvxnxxmxmxzoo! mjifunzege kuzipunguzia saver za Jf MIZIGO!
Ushachanganyikiwa wewe, tafuta msaada
 
toka nizaliwe Sina utaratibu wa kwenda direct na kununua kitu kwanza huwa sitembei na pesa ya kitu husika ili nifanye maamuzi sahihi pindi nikirudi kwangu
Hivi!!! kuumbe una kwako na wewe? looool!!....... Nakushauri ivi!! kuzurula kwenye Maduka ya watu, ni matumizi mabaya ya Muda, kwanza unawachafulia maduka yao baada ya wao kufanya usafi!!

Jamaa alikuwa sahihi kabisa kukudharau kwa style ile!! utake usitake utadharauliwa tuu na ndivo ulivo hata humu mie nakudharau sana tu kwa kina! hufai hata kuigwa! weye Mzembe sana!

Baba wa mji kabisa unadiriki kuzurura Madukani kwa watu eti unasaka bei rahisi! tena unajisifu!! Mfalme ni mteja sasa jiulize mfalme gani huyo mzururaji, ananuna hovyo, mpenda vya rahisi ivo, Majungu? tena mzururaji! kwa nini una zurula wkt wa kazi eti natafuta vya Rahisi? mweee!
 
Nimeenda duka la simu ulizia kitu flani ..mwenye duka ashakua maarufu ndo Mana niliagiziwa pale, nimeshangaa Sana yuko busy na insta hanisikilizi Mara ana screenshot insta anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi

Hivi tutafika kweli kwa style hii? Kwamba duka kujaa vitu ana dharau elf30 yangu hivi wabongo kuwa na ka duka Cha spea za simu, simu mpya /used charger nk unaona Kama dunia yote yako daa...Imeniuma Sana.

Hivi matajiri wenzetu huko mambele na wenyewe wanadharau? Ile kukudharau sababu unanunua labda earphone za elf 5 hajui pesa ndogo na kubwa ndo zimemfanya afikie hapo kwa sasa
Mkuu Mimi nafikiri roho za kimaskini zinatusumbua sana wa bongo watu siyo waelewa kabisa.
 
Kama huna huna tu, chuma ulete gani mkuu. Hivyo ni visingizio vya wasiojua hesabu kwenye biashara zao na wasioweka sawa rekodi za mapato na matumizi yao.
Hatudanganyiki kirahisi hata siku moja Chuma ulete mpo live!! km sisi ni visingizio kwa nini weye chuma ulete usije na sababu km hizo hizo za kusingiziwa?....kwani chuma ulete ukimkamata atasemaje?

ivoivo km ulivo jibu ndo majibu yao! atasemaje sasa?? make ukikubali ipo wengine watakupiga Bao kali! si mnaoneana wivu nyie??...

Usijidanganye hata sisi wafanya Biashara ni wachawi vilevile! tunawaoneni kichawi msijaribu kututisha hata kidogo!! usifikiri ukija na kachuma ulete kako hako katanifanyia kitu jaribu uone moto!

kwa wakinga, wahindi, mnaumbukaga sana!
 
Kuna siku nimeenda dukani, muuzaji (anaonekana ndo owner) akaleta mahitaji yangu nikatoa pesa, ikawa inatakiwa irudi Cheji, akasema hana Chenji nirudishe baadhi ya Vitu ambavyo tayari nilikuwa nimeweka kwenye mfuko! nilishangaa sana ila nikamkazia nikamwambia sirudishi chochote tafuta chenji, akataka achukue mmoja wa mfuko nikamwambia jaribu kushika huu mfuko uone kitakachokutokea kama sijakumwaga ubongo hapa na kukuitia mwizi.... basi alivyoona nipo serious akaenda duka lingine akaomba chenji.... akanirudishia mm huyooooooo nikasepa.. ila ndo ashanipoteza sitorudi tena pale ingawa somo hilo nitaendelea kulitoa kwa wavivu wengine wasiojitambua kama yeye!!
Sasa mtu anafungua duka la nini kama pesa zimetosha kiukweli inasikitisha sana...bora hata ulivyocharuka aisee.
 
Nimeenda duka la simu ulizia kitu flani ..mwenye duka ashakua maarufu ndo Mana niliagiziwa pale, nimeshangaa Sana yuko busy na insta hanisikilizi Mara ana screenshot insta anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi

Hivi tutafika kweli kwa style hii? Kwamba duka kujaa vitu ana dharau elf30 yangu hivi wabongo kuwa na ka duka Cha spea za simu, simu mpya /used charger nk unaona Kama dunia yote yako daa...Imeniuma Sana.

Hivi matajiri wenzetu huko mambele na wenyewe wanadharau? Ile kukudharau sababu unanunua labda earphone za elf 5 hajui pesa ndogo na kubwa ndo zimemfanya afikie hapo kwa sasa
Bongo wafanya biashara wanajiona sana,ndio maana wapo pale pale wengi
 
una tatizo mahali mkuu.jarbu kwenda hospital ya karbu ufanyiwe uchunguzi kuna pahali ubongo wako auko sawa .
Sidhani km umesoma drsani japo kiduchu! una kila dalili za utoro.....sasa Daktari wa ubongo anaitwaje na Hospitali gani acha dsm Duniani??

auko sawa au hauko sawa? majibu haya yana akisi akili yako!......mjadala hapa ni ''customer care za kibongo ni sifuri'' kitu ambacho napinga mpaka kesho! weye unakuja na suala la Ubongo! ambao hata huujui!

hata kichaa wa majalalani, anaona wazima ni vichaa zaidi, tena kuliko yeye!! ndo mlivyo nyie watu wa hivi! msiokuwa na hoja tunduizi!! nasema ivi ''mkomeee kuzurula kwenye Maduka ya wenye nazo eti kusaka uteja ni Mfalme''

kuna wengine Mteja ni kidampa tu km weye! hata ukimuombea kushuka hashuki ng'oo, jipendekeze upandie hapo. Mungu alisha sema Mwenye nacho ataongzewa tuuuu!! Nuna pasuka mtasubiri sana!

na maneno yenu ya hovyo!! sisi smaki team tunaamini ''si kila mteja ni Mfalme'' lia pasuka ndo tueamua ivo no body shall take it away! hatubadiriki! tena ukija vibaya na ufalme wako huo tunakutia Loch up!
 
Bongo wafanya biashara wanajiona sana,ndio maana wapo pale pale wengi
Kwenda zako hukoo! sasa mtu asijione akuone weye na ukidampa wako?? uliona wapi maskini anaabudiwa jinga weye kasome shule huko!...utatengwaaa mpaka na ndg zako wenye hela nyau weye!

Tafuta pesa! toa pesa kwa wasio nazo kwa nyodo km zoote siyo dume zima unanywele kila mahali unalia lia hapa km demu!!...wanajiona kwa hiyo?? tuwaue au tuwafanyeje!!

na wakizipata wanakaa kivyao! tenga tuuu mamburula km weye tuna weka vibao kabisaa no Black dogs hapa!..hata km ni ndg yako apite kuleee na kikwapa chake cha umaskini hiko!...mleta mada ndo kabisaaa!
 
Kwani nilazima uelewe kila kitu Dada?
Yes! why not? niko hapa kuelewa Maarifa ! ikibidi kuzidi vyote vilivyomo kwani dhambi??...wapi imeandikwa kuelewa vyote ni dhambi??

bali ni Maarifa km Mfalme suleiman alielewa mpaka sauti za ndege kwani uliona Mungu amemuhukumu?..Mungu alisema watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa alikuwa hatanii!! tatizo weye huna shule!

Bila shaka weye ni kizazi cha nyoka mna tabia ya kujiwekea Limit ya kujua maarifa mengi ndivo mnavo julikana kirahisi/kifupi mlivyo! siyo kosa lako! bali ni kosa la asili yako! kamwe hutabadirika!
 
Maskini sijui mna matatizo gani!! mlipo ambiwa mteja Mfalme Baaaasi mnakuwa na bichwa sana!! sasa weye umemkuta akiongea kitu simuni, unataka amkatize mteja mwingine wa simuni akusikilize weye dats ''rubbish thinking
Naona una hasira sana na ukiwa na hasira namna hiyo hiyo biashara itakushinda.

Hata kama alikuwa kwenye simu lakini angeweza kuomba radhi amalizie ile issue aliyokuwa nayo halafu ndiyo amuhudumie. Hiyo aliyofanya huyo muuza duka ni dharau na ni kweli maduka ya aina hii ni rahisi kufilisika halafu anazushia amerogwa.

Kuna baadhi ya maduka unakwenda unahudumiwa unafurahi hadi unanunua kitu japo hukuwa na nia ya kununua.

Wauza maduka wanahitaji kupata mafunzo ya enterpreneurship skills zikiwemo na hiyo huduma kwa wateja.
 
Yes! why not? niko hapa kuelewa Maarifa ! ikibidi kuzidi vyote vilivyomo kwani dhambi??...wapi imeandikwa kuelewa vyote ni dhambi??

bali ni Maarifa km Mfalme suleiman alielewa mpaka sauti za ndege kwani uliona Mungu amemuhukumu?..Mungu alisema watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa alikuwa hatanii!! tatizo weye huna shule!

Bila shaka weye ni kizazi cha nyoka mna tabia ya kujiwekea Limit ya kujua maarifa mengi ndivo mnavo julikana kirahisi/kifupi mlivyo! siyo kosa lako! bali ni kosa la asili yako! kamwe hutabadirika!
Sawa nashukuru.
 
Mbona misemo ya kizamani sana hii wewe bado unaitumia sasa ngoja nikusaidie kwa walio iona haifai wakaachana nayo sikia....hata weye mwenyewe ukifikiria tu km ivi.....

A flying bird at hand, worthy Infinitesimal than unseen giant Buffaloes dat can feed ma entire villagers!....to value and enjoy a single bird at hand is untold selfishness!

Somethin which is absolutely un measure able, insanitariest! to value un seen poverties! en you're comfortable of it , en use it as your day todays jargon to guide your life!

Above all U're enjoyin' it insignificantly! just b'se it won't satisfy you personal hunger as well as whole family dwellers en friends! hence u' need assistance to move forward!
He! nini hichi?
 
Hata kama alikuwa kwenye simu lakini angeweza kuomba radhi amalizie ile issue aliyokuwa nayo halafu ndiyo amuhudumie. Hiyo aliyofanya huyo muuza duka ni dharau
Kweli nina hasira kwa sababu nyie ni wooote uelewa wenu uko chini ya kiwango! mpumbavu siyo wa kumchekea atazidi!! Ok! yuko ame concetrate kwenye simu ana midomo/akili ngapi?? kuongea huku na huku?

km unakipaji iko cha kusikiliza kuwili km kasuku yeye hana sasa ajiue? kwa nini weye mteja mwenye nidhamu usiwe na subira?? kujua kulikoni?? huyo nasema tena hakuwa mteja mzuri chuma Ulete hilo! limedhalilishwa!

sasa linakuja humu kunanga wenye navyo mfyuxcxcxc! ndo yalivo! hataa hujanibadili kitu hapo1
 
Back
Top Bottom