Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida.....

==========================

Male belly

A male with a big belly. PHOTO | COURTESY

Dodoma. The National Health Insurance Fund (NHIF) reportedly paid hospital bills for male patients to either undergo caesarian or normal delivery, the CAG’s report has revealed.

According to the report which was made public by the CAG on Tuesday in Dodoma, 731 male members were reportedly part of the shoddy scheme.

“I reviewed and identified that false claims were submitted by health facilities and were paid Sh14,409,200. I also identified that there were 56 claims that showed that men received caesarian operation or normal delivery service,” writes the CAG.

According to the report there were some 444 members who received full blood picture examination more than once on the same day.

“In fact, some even more than 30 times at the same health facility,” read the 2020-2021 CAG report.

In another incident, the report says there were members who received spectacles more than once yet the law only allows for such service once in a year.

The report also says that for the period 2020-2021 there were 7,556 claims worth Sh69.1 million that names of the beneficiaries did not correspond with that of the card holder.

Uchunguzi wa aina hiihii ulifanyika awamu ya 4? Majibu yake yalikuaje? Kama huna takwimu hizo unasemaje upigaji mwingi ulifanyika awamu ya tano?
 
Serikali ya sasa ni ya Mafisadi na majizi, the whole thing is stinking rotten corruption fraudulent and embezzlements up to the 7th Heaven, walalahoi wananyongwa na kuambiwa waende wakashtaki Chato!
Serikali ya sasa imeweka mambo wazi, nyie msio penda ukweli mnadhani eti ni wao waovu, ila wako wazi, wanafanya mambo peupe, mazuri na mabaya yanaonekana so u can see how shithole your country has been all along, mlizoea propaganda, mabaya hamngejua yanatendeka only mazuri, sasa unadhani eti mnaporomoka, la sivyo, hamjawai kukuwa sawa., tulia mama alainishe mambo. 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣
 
Nakumbuka ile awamu ya tano kuna kipindi walipiga trilioni 1.5, mwendazake akawa anatetea na ili kuwaaminisha Watz kuwa hakukua na huo ufisadi, akamuuliza mkaguzi mkuu mbele ya umati, "eti kuna hela 1.5 trilion ziliibwa?

Jameni sijui alitegemea majibu gani, maana utamuulizaje mkaguzi kwenye mkutano wa kisiasa na kwanza wewe mwenyewe umeshakana hamna wizi, hapo mkaguzi akikinzana na wewe mbele ya watu si ndio utamnyongea baharini.
 
Serikali ya sasa imeweka mambo wazi, nyie msio penda ukweli mnadhani eti ni wao waovu, ila wako wazi, wanafanya mambo peupe, mazuri na mabaya yanaonekana so u can see how shithole your country has been all along, mlizoea propaganda, mabaya hamngejua yanatendeka only mazuri, sasa unadhani eti mnaporomoka, la sivyo, hamjawai kukuwa sawa., tulia mama alainishe mambo. 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣
Serikali yetu ni gonjwa lakini yenu ni maiti halafu sisi hatu sugarcoat chochote ninyi na ufukara wenu mpaka mnaitwa ufalme wa ufukara 70% wanaogelea kwenye tope la ufukara no one cares, sio fukara wala mfalme wa ufukara uhuru 😂😂😂😂😂

IMG_1084.jpg
 
Nakumbuka ile awamu ya tano kuna kipindi walipiga trilioni 1.5, mwendazake akawa anatetea na ili kuwaaminisha Watz kuwa hakukua na huo ufisadi, akamuuliza mkaguzi mkuu mbele ya umati, "eti kuna hela 1.5 trilion ziliibwa?".....
Jameni sijui alitegemea majibu gani, maana utamuulizaje mkaguzi kwenye mkutano wa kisiasa na kwanza wewe mwenyewe umeshakana hamna wizi, hapo mkaguzi akikinzana na wewe mbele ya watu si ndio utamnyongea baharini.
We jamaa poyoyo kweli, unafikiri trillion 1.5 ni pesa ya nyanya?

Wastani TRA kwa mwezi inakusanya trillion 1.5 hiyo pesa ilipe mishahara, madeni, expenditures etc kwa mwezi mzima

Then ndio useme trillion 1.5 inaweza kuibiwa na kila kitu kikaenda smooth lazima utakua na hitilafu mahali
 
Serikali ya sasa imeweka mambo wazi, nyie msio penda ukweli mnadhani eti ni wao waovu, ila wako wazi, wanafanya mambo peupe, mazuri na mabaya yanaonekana so u can see how shithole your country has been all along, mlizoea propaganda, mabaya hamngejua yanatendeka only mazuri, sasa unadhani eti mnaporomoka, la sivyo, hamjawai kukuwa sawa., tulia mama alainishe mambo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwani wamesema wapi kama ilikuwa ndani ya awamu ya 5?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi wajibu wangu ni kutupia kaclip😁😁😁
 
We jamaa poyoyo kweli, unafikiri trillion 1.5 ni pesa ya nyanya?

Wastani TRA kwa mwezi inakusanya trillion 1.5 hiyo pesa ilipe mishahara, madeni, expenditures etc kwa mwezi mzima

Then ndio useme trillion 1.5 inaweza kuibiwa na kila kitu kikaenda smooth lazima utakua na hitilafu mahali

Sasa mbona hamkutolea majibu kwa Watz, mliishia hizi ngonjera na kushambulia kila aliyehoji, hata mkaguzi mwenyewe mkamtupia nje kule, nakumbuka mlivyokua mnamzungusha nusra atiwe ndani na yule Ndugai spika wenu ambaye naye sijui ana gubu au, maana leo hii yupo nje kwenye baridi.
 
Ni ninyi msio na akili ndio mnadanganyika na siasa za laymen, sasa ukiulizwa 1.5 trillion zimepitia kwenye Bank gani utasemaje sababu Bank kubwa Tanzania hiyo 1.5 trillion ni almost nusu ya assets zake zote, so how that huge amount of money can be stolen like that?

Screenshot_20220414-132136.png
 
Back
Top Bottom