Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

Ni ninyi msio na akili ndio mnadanganyika na siasa za laymen, sasa ukiulizwa 1.5 trillion zimepitia kwenye Bank gani utasemaje sababu Bank kubwa Tanzania hiyo 1.5 trillion ni almost nusu ya assets zake zote, so how that huge amount of money can be stolen like that?

View attachment 2187160

Kwani uliambiwa ziliibwa kwa mkupuo mmoja? Hii issue mbona ilijadiliwa sana na hata kuna nyuzi zilifunguliwa kuijadili, mojawapo wa uzi huu hapa hebu jaribu kupeleka hiyo hoja yako uone utakavyojibiwa na Watanzania Ripoti ya CAG: Jumla ya shilingi trilioni 1.9 hazijulikani matumizi yake, vitabu vya BoT na Hazina havilingani, nyaraka za matumizi hazipo
 
Serikali ya sasa ni ya Mafisadi na majizi, the whole thing is stinking rotten corruption fraudulent and embezzlements up to the 7th Heaven, walalahoi wananyongwa na kuambiwa waende wakashtaki Chato!
Nani kakwambia ulale hoi? Umasikini siyo jambo la kujivunia kama Jiwe alivyowaaminisha. Hakikisha huwi masikini wala mnyonge uone kama utakuja kulialia humu
 
Nakumbuka ile awamu ya tano kuna kipindi walipiga trilioni 1.5, mwendazake akawa anatetea na ili kuwaaminisha Watz kuwa hakukua na huo ufisadi, akamuuliza mkaguzi mkuu mbele ya umati, "eti kuna hela 1.5 trilion ziliibwa?".....
Jameni sijui alitegemea majibu gani, maana utamuulizaje mkaguzi kwenye mkutano wa kisiasa na kwanza wewe mwenyewe umeshakana hamna wizi, hapo mkaguzi akikinzana na wewe mbele ya watu si ndio utamnyongea baharini.
Alimuuliza swali ambalo anajua kabisa kuwa CAG siyo kazi yake kusema kama kuna wizi. Kazi hiyo ni ya Bunge wakishirikiana na PCCB
 
We jamaa poyoyo kweli, unafikiri trillion 1.5 ni pesa ya nyanya?

Wastani TRA kwa mwezi inakusanya trillion 1.5 hiyo pesa ilipe mishahara, madeni, expenditures etc kwa mwezi mzima

Then ndio useme trillion 1.5 inaweza kuibiwa na kila kitu kikaenda smooth lazima utakua na hitilafu mahali
Mwizi ni mwizi tu, Jiwe alikuwa mwizi na muuaji.
 
Ni ninyi msio na akili ndio mnadanganyika na siasa za laymen, sasa ukiulizwa 1.5 trillion zimepitia kwenye Bank gani utasemaje sababu Bank kubwa Tanzania hiyo 1.5 trillion ni almost nusu ya assets zake zote, so how that huge amount of money can be stolen like that?

View attachment 2187160
So una maana CAG alisema uongo? Wewe unajua ziliko hizo pesa?
 
Serikali ya sasa imeweka mambo wazi, nyie msio penda ukweli mnadhani eti ni wao waovu, ila wako wazi, wanafanya mambo peupe, mazuri na mabaya yanaonekana so u can see how shithole your country has been all along, mlizoea propaganda, mabaya hamngejua yanatendeka only mazuri, sasa unadhani eti mnaporomoka, la sivyo, hamjawai kukuwa sawa., tulia mama alainishe mambo. 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣
Kama nikweli siwakamatwe, maana hata Magufuri alipopata urais alihakikisha walofanya ufisadi hawamu ya nne wanakamatwa na kurejesha hizo fedha walizokwiba, maana alisema wazi Kama uliiba pesa za Serikali,utazitoa kupitia tundu lolote mladi Serikali imepata fedha zake, wengine zilichukuliwa kwenye account zao watake wasitake mladi waliiba, Sasahivi huu utawala wa Samia ni makelele tu,hii ni ripot ya pili makelele tu,akuna hatua zinazochukuliwa,hapo ndipo tunasema hizi ripot za mchongo kumchafua Magufuri, lakini hawataweza.
 
Back
Top Bottom