Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae


Kwani uliambiwa ziliibwa kwa mkupuo mmoja? Hii issue mbona ilijadiliwa sana na hata kuna nyuzi zilifunguliwa kuijadili, mojawapo wa uzi huu hapa hebu jaribu kupeleka hiyo hoja yako uone utakavyojibiwa na Watanzania Ripoti ya CAG: Jumla ya shilingi trilioni 1.9 hazijulikani matumizi yake, vitabu vya BoT na Hazina havilingani, nyaraka za matumizi hazipo
 
Serikali ya sasa ni ya Mafisadi na majizi, the whole thing is stinking rotten corruption fraudulent and embezzlements up to the 7th Heaven, walalahoi wananyongwa na kuambiwa waende wakashtaki Chato!
Nani kakwambia ulale hoi? Umasikini siyo jambo la kujivunia kama Jiwe alivyowaaminisha. Hakikisha huwi masikini wala mnyonge uone kama utakuja kulialia humu
 
Alimuuliza swali ambalo anajua kabisa kuwa CAG siyo kazi yake kusema kama kuna wizi. Kazi hiyo ni ya Bunge wakishirikiana na PCCB
 
Mwizi ni mwizi tu, Jiwe alikuwa mwizi na muuaji.
 
So una maana CAG alisema uongo? Wewe unajua ziliko hizo pesa?
 
Kama nikweli siwakamatwe, maana hata Magufuri alipopata urais alihakikisha walofanya ufisadi hawamu ya nne wanakamatwa na kurejesha hizo fedha walizokwiba, maana alisema wazi Kama uliiba pesa za Serikali,utazitoa kupitia tundu lolote mladi Serikali imepata fedha zake, wengine zilichukuliwa kwenye account zao watake wasitake mladi waliiba, Sasahivi huu utawala wa Samia ni makelele tu,hii ni ripot ya pili makelele tu,akuna hatua zinazochukuliwa,hapo ndipo tunasema hizi ripot za mchongo kumchafua Magufuri, lakini hawataweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…