Irene aliliteka sana sokoHata mimi nimeona hizi awards za Azam zitasaidia kuwatoa kwenye usingizi wa kulewa umaarufu usio na tija.
Irene ajitazame upya. Alikuwa star wa bongo movie anayekubalika sana hadi nje ya Tanzania. Lakini hakuulinda ustar wake kwa kufanya kazi nzuri zaidi. Alipoona umaarufu unapungua akaona asafishe nyota kwa kujikabidhi kwa Ben7. Sasa kasahau kwamba hicho si kigezo cha kupata award.
Napenda sanaa ila Bongo movie wanatudissapoint kwa kweliTo be honest, najickia faraja sana ninapokutana na maoni yanayoashiria kuwa concerned na tasnia ya filamu nchini!
My thumb down kwa wale ambao wanachojua ni kuponda tu Bongo Movie tena kuponda kwa dharau na kejeli!
Hawa wanasahau kwamba filamu ni taaluma ambayo watu wanakaa darasani 3-4 years!!
Kinyume chake, Tz waliokuwa kwenye tasnia ni wale wanao-hustle wenyewe bila taaluma yoyote ya filamu!
Na hata wale wenye taaluma, hawashiriki kwavile wengi wao walijikuta tu wakisoma film and art bila kuwa na passion!!
Bongo Movie kuna serious problem! Na hilo la kutopendana wenyewe kwa wenyewe lipo sana!Napenda sanaa ila Bongo movie wanatudissapoint kwa kweli
Charity begins at home always!!
Bongo muvi waache utoto wanagombana kisa Wema kapata tuzo saah!nimechoka sana
Teh teh..Mpendwa umenikumbusha mbali hilo jinaHuo muda wa kucheki bongo movie heri kucheki pilau
Mngh!Huo muda wa kucheki bongo movie heri kucheki pilau
Koment yako itakuwa imemfurahisha sana mwenyekiti wa chaputa kwa kuhamasisha wanachama wapya wajoini huko chamani.Huo muda wa kucheki bongo movie heri kucheki pilau
Hivi kuna MTU aliwakataza hao bongo mavi wasiende kusomea hio taaluma?To be honest, najickia faraja sana ninapokutana na maoni yanayoashiria kuwa concerned na tasnia ya filamu nchini!
My thumb down kwa wale ambao wanachojua ni kuponda tu Bongo Movie tena kuponda kwa dharau na kejeli!
Hawa wanasahau kwamba filamu ni taaluma ambayo watu wanakaa darasani 3-4 years!!
Kinyume chake, Tz waliokuwa kwenye tasnia ni wale wanao-hustle wenyewe bila taaluma yoyote ya filamu!
Na hata wale wenye taaluma, hawashiriki kwavile wengi wao walijikuta tu wakisoma film and art bila kuwa na passion!!
Ulipiga kura?Kwa hawa wanawake hivi wema nini kimemshindisha hyo tuzo?Riyama deserve than her.
Kabla ya kutafuta shari; je shari unaziweza au unaigiza kwavile unatumia anonymous identity?!Hivi kuna MTU aliwakataza hao bongo mavi wasiende kusomea hio taaluma?
Halafu inaonesha wewe ni miongoni mwa hao zero brains eeeeh!
Mpendwa na pilau unazo?Teh teh..Mpendwa umenikumbusha mbali hilo jina
Zipo mpendwa..Uje uchukueMpendwa na pilau unazo?
Shari iko wapi hapa?Kabla ya kutafuta shari; je shari unaziweza au unaigiza kwavile unatumia anonymous identity?!
Kama unaziweza na unapenda shari, be my guest but for now, nitajifanya sijaona hizo lugha zako za hovyo!
Badala ya kushirikiana wao wanapondana vibaya mnoooBongo Movie kuna serious problem! Na hilo la kutopendana wenyewe kwa wenyewe lipo sana!
Na moja ya matatizo jipu ni kati ya "Newcomers Wasomi" vs "Wakongwe" walioshikilia soko!!
Hapa kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake wakati ukweli ni kwamba "Msomi" anamhitaji sana Kayumba kwa sababu ni mzoefu na Kayumba anamhitaji sana Msomi ili akwibe utaalamu wake!
mpendwa mie tena na pilau nipo full, kuanzia memory card hadi external hd nmejaza😀Zipo mpendwa..Uje uchukue
You are so right.. Riyama alifanya vizuri sana kwenye fungu la kukosa. Lakini kwa sasa kabobea sana kwenye kuchamba. Movie zake zinakuwa kama comedy.Riyama hakua na muvi nzuri zaid ya zile za kuchambana chambana tu!