Bongo movie acheni majungu hivi hatutafika

Hata mimi nimeona hizi awards za Azam zitasaidia kuwatoa kwenye usingizi wa kulewa umaarufu usio na tija.

Irene ajitazame upya. Alikuwa star wa bongo movie anayekubalika sana hadi nje ya Tanzania. Lakini hakuulinda ustar wake kwa kufanya kazi nzuri zaidi. Alipoona umaarufu unapungua akaona asafishe nyota kwa kujikabidhi kwa Ben7. Sasa kasahau kwamba hicho si kigezo cha kupata award.
Irene aliliteka sana soko

Halafu the problem wao hawana hatimiliki wao wanafanya film the wanamuuzia mhindi mpk hakimiliki hilo ndo tatizo ndo maana walipoambiwa wapeleke kazi hawakua na za kupeleka maana sio za kwao
 
To be honest, najickia faraja sana ninapokutana na maoni yanayoashiria kuwa concerned na tasnia ya filamu nchini!

My thumb down kwa wale ambao wanachojua ni kuponda tu Bongo Movie tena kuponda kwa dharau na kejeli!

Hawa wanasahau kwamba filamu ni taaluma ambayo watu wanakaa darasani 3-4 years!!

Kinyume chake, Tz waliokuwa kwenye tasnia ni wale wanao-hustle wenyewe bila taaluma yoyote ya filamu!

Na hata wale wenye taaluma, hawashiriki kwavile wengi wao walijikuta tu wakisoma film and art bila kuwa na passion!!
Napenda sanaa ila Bongo movie wanatudissapoint kwa kweli

Charity begins at home always!!
Bongo muvi waache utoto wanagombana kisa Wema kapata tuzo saah!nimechoka sana
 
Bongo Movie kuna serious problem! Na hilo la kutopendana wenyewe kwa wenyewe lipo sana!

Na moja ya matatizo jipu ni kati ya "Newcomers Wasomi" vs "Wakongwe" walioshikilia soko!!

Hapa kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake wakati ukweli ni kwamba "Msomi" anamhitaji sana Kayumba kwa sababu ni mzoefu na Kayumba anamhitaji sana Msomi ili akwibe utaalamu wake!
 
Nimefika home saa hiz kutoka mihangaikoni, nimekuta watoto wapo bize na wakorea na ndani kipo King'amuzi cha Azam TV Hawana habari na sinema zetu.
 
To be honest, najickia faraja sana ninapokutana na maoni yanayoashiria kuwa concerned na tasnia ya filamu nchini!

My thumb down kwa wale ambao wanachojua ni kuponda tu Bongo Movie tena kuponda kwa dharau na kejeli!

Hawa wanasahau kwamba filamu ni taaluma ambayo watu wanakaa darasani 3-4 years!!

Kinyume chake, Tz waliokuwa kwenye tasnia ni wale wanao-hustle wenyewe bila taaluma yoyote ya filamu!

Na hata wale wenye taaluma, hawashiriki kwavile wengi wao walijikuta tu wakisoma film and art bila kuwa na passion!!
Hivi kuna MTU aliwakataza hao bongo mavi wasiende kusomea hio taaluma?
Halafu inaonesha wewe ni miongoni mwa hao zero brains eeeeh!
 
Kabla ya kutafuta shari; je shari unaziweza au unaigiza kwavile unatumia anonymous identity?!

Kama unaziweza na unapenda shari, be my guest but for now, nitajifanya sijaona hizo lugha zako za hovyo!
 
Shari iko wapi hapa?
 
Bongo Movie kuna serious problem! Na hilo la kutopendana wenyewe kwa wenyewe lipo sana!

Na moja ya matatizo jipu ni kati ya "Newcomers Wasomi" vs "Wakongwe" walioshikilia soko!!

Hapa kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake wakati ukweli ni kwamba "Msomi" anamhitaji sana Kayumba kwa sababu ni mzoefu na Kayumba anamhitaji sana Msomi ili akwibe utaalamu wake!
Badala ya kushirikiana wao wanapondana vibaya mnooo
 
Riyama hakua na muvi nzuri zaid ya zile za kuchambana chambana tu!
You are so right.. Riyama alifanya vizuri sana kwenye fungu la kukosa. Lakini kwa sasa kabobea sana kwenye kuchamba. Movie zake zinakuwa kama comedy.
 
Back
Top Bottom