Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
- Thread starter
- #21
Irene aliliteka sana sokoHata mimi nimeona hizi awards za Azam zitasaidia kuwatoa kwenye usingizi wa kulewa umaarufu usio na tija.
Irene ajitazame upya. Alikuwa star wa bongo movie anayekubalika sana hadi nje ya Tanzania. Lakini hakuulinda ustar wake kwa kufanya kazi nzuri zaidi. Alipoona umaarufu unapungua akaona asafishe nyota kwa kujikabidhi kwa Ben7. Sasa kasahau kwamba hicho si kigezo cha kupata award.
Halafu the problem wao hawana hatimiliki wao wanafanya film the wanamuuzia mhindi mpk hakimiliki hilo ndo tatizo ndo maana walipoambiwa wapeleke kazi hawakua na za kupeleka maana sio za kwao