Tetesi: Bongo movie kuanzisha tv station

Kwisha habari yao...!!!!...wasitegemee nitawasapoti kwa kweli..Bora nikaangalie katuni tu nipoteze mawazo...Nikichoka baadae niangalie zangu series kuliko huo upuuzi wao!!
Wacha waendelee kupokea adhabu
 
Sura zao hazina ushirikiano kwa kitendo husika
umeamua kuponda kwa kufata mkumbo tu,kila mtu akiponda anaishia kwa jini kuvuka barabara na jambazi kuvua viatu,kweli kuna makosa lakini chanzo sio hao watengenezaji tu,wasambazaji na wewe mteja wote mnachangia bongomovie kufanya vibaya
 
Naona povu linakutoka kweli. Mkumbo umefata mwenyewe. Nimeweka picha hapo inaonyesha uhalisia wa uongo wenu bongo movie UKWELI NI KWAMBA HAMJUI KUIGIZA MMEISHIA KUBANDUANA WENYEWE KWA WENYEWE TU HICHO NDIO MNAKIJUA.

Heri ya mwana nani bana ... kwa staili ya mikakati ya Kibashite hiyo station wataitizama wao wenyewe na mabeki tatu wa uswahilini

Labda waache ku act maigizo wafanye muvi za kikweli ...
movie kweli huwezi pata kwa jero,hayo makapi ya movie unayoangalia,huko yanakotika yanauzwa usd 40-60,zaidi ya elf 80
 
Quality Kaka ... ulishaona muvi budget Milioni 3 ndani ya wiki muvi tayari ... sasa hiyo muvi au maigizo ... angalia tofauti ya Bongo muvi yaleo na ile ya Mzee Yombayomba utagundua hawa wa skuizi wazushi tu
 
Naona povu linakutoka kweli. Mkumbo umefata mwenyewe. Nimeweka picha hapo inaonyesha uhalisia wa uongo wenu bongo movie UKWELI NI KWAMBA HAMJUI KUIGIZA MMEISHIA KUBANDUANA WENYEWE KWA WENYEWE TU HICHO NDIO MNAKIJUA.
ARVs,TACAIDS,ANGAZA na watu 2m+ wanaoishi na VVU ni bongo movie!,picha ulizoweka zinatofautiana,moja watu wanaoneshana silaha akiwepo mtoto mdogo,ingine mateka wamefungwa,hawawezi kua na reaction sawa
 
ARVs,TACAIDS,ANGAZA na watu 2m+ wanaoishi na VVU ni bongo movie!,picha ulizoweka zinatofautiana,moja watu wanaoneshana silaha akiwepo mtoto mdogo,ingine mateka wamefungwa,hawawezi kua na reaction sawa
 
Quality Kaka ... ulishaona muvi budget Milioni 3 ndani ya wiki muvi tayari ... sasa hiyo muvi au maigizo ... angalia tofauti ya Bongo muvi yaleo na ile ya Mzee Yombayomba utagundua hawa wa skuizi wazushi tu
tatizo lenu wabongo mnapenda kubebea bango vitu msivovijua,muda hauamui movie iwe na quality au laa
 
Aseee wakiwezi kucontrol sauti tu rukhsa kuanzisha channel yao.😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…