Tetesi: Bongo movie kuanzisha tv station

Kwisha habari yao...!!!!...wasitegemee nitawasapoti kwa kweli..Bora nikaangalie katuni tu nipoteze mawazo...Nikichoka baadae niangalie zangu series kuliko huo upuuzi wao!!
Wacha waendelee kupokea adhabu
 
Sura zao hazina ushirikiano kwa kitendo husika
umeamua kuponda kwa kufata mkumbo tu,kila mtu akiponda anaishia kwa jini kuvuka barabara na jambazi kuvua viatu,kweli kuna makosa lakini chanzo sio hao watengenezaji tu,wasambazaji na wewe mteja wote mnachangia bongomovie kufanya vibaya
 
Naona povu linakutoka kweli. Mkumbo umefata mwenyewe. Nimeweka picha hapo inaonyesha uhalisia wa uongo wenu bongo movie UKWELI NI KWAMBA HAMJUI KUIGIZA MMEISHIA KUBANDUANA WENYEWE KWA WENYEWE TU HICHO NDIO MNAKIJUA.

Heri ya mwana nani bana ... kwa staili ya mikakati ya Kibashite hiyo station wataitizama wao wenyewe na mabeki tatu wa uswahilini

Labda waache ku act maigizo wafanye muvi za kikweli ...
movie kweli huwezi pata kwa jero,hayo makapi ya movie unayoangalia,huko yanakotika yanauzwa usd 40-60,zaidi ya elf 80
 
ndo mlivo wabongo,kuponda vyenu na kutukuza vya watu,wafilipino kila siku mtoto alipotezana na mzazi wake angali mdogo,bdae patakua na D.N.A itayomtambulisha baba yake,lakin hamuachi kutazama wala hamsemi yaleyale kwa kuwa wana makalio meupe na wanaongea lugha ngeni,cd zenyewe mnakodi kwa jero na hamjali kama halisi kisha mnalilia vitu vizuri
Quality Kaka ... ulishaona muvi budget Milioni 3 ndani ya wiki muvi tayari ... sasa hiyo muvi au maigizo ... angalia tofauti ya Bongo muvi yaleo na ile ya Mzee Yombayomba utagundua hawa wa skuizi wazushi tu
 
Naona povu linakutoka kweli. Mkumbo umefata mwenyewe. Nimeweka picha hapo inaonyesha uhalisia wa uongo wenu bongo movie UKWELI NI KWAMBA HAMJUI KUIGIZA MMEISHIA KUBANDUANA WENYEWE KWA WENYEWE TU HICHO NDIO MNAKIJUA.
ARVs,TACAIDS,ANGAZA na watu 2m+ wanaoishi na VVU ni bongo movie!,picha ulizoweka zinatofautiana,moja watu wanaoneshana silaha akiwepo mtoto mdogo,ingine mateka wamefungwa,hawawezi kua na reaction sawa
 
IMG-20170509-WA0066.jpg

ARVs,TACAIDS,ANGAZA na watu 2m+ wanaoishi na VVU ni bongo movie!,picha ulizoweka zinatofautiana,moja watu wanaoneshana silaha akiwepo mtoto mdogo,ingine mateka wamefungwa,hawawezi kua na reaction sawa
 
Quality Kaka ... ulishaona muvi budget Milioni 3 ndani ya wiki muvi tayari ... sasa hiyo muvi au maigizo ... angalia tofauti ya Bongo muvi yaleo na ile ya Mzee Yombayomba utagundua hawa wa skuizi wazushi tu
tatizo lenu wabongo mnapenda kubebea bango vitu msivovijua,muda hauamui movie iwe na quality au laa
 
Aseee wakiwezi kucontrol sauti tu rukhsa kuanzisha channel yao.😀
 
Back
Top Bottom