Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hawajitambui yaani hata kuangalia hayo maigizo yao unasikia kichefuchefuKweli kabisa
Waongo waongo tu,kazi kuturingishia nguo na maumbo yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajitambui yaani hata kuangalia hayo maigizo yao unasikia kichefuchefuKweli kabisa
Waongo waongo tu,kazi kuturingishia nguo na maumbo yao
Wacha waendelee kupokea adhabuKwisha habari yao...!!!!...wasitegemee nitawasapoti kwa kweli..Bora nikaangalie katuni tu nipoteze mawazo...Nikichoka baadae niangalie zangu series kuliko huo upuuzi wao!!
Tena za nay Wa mitegoKazi zipi? Hizi tunazozijua? May be wataaangalia wenyewe au mwisho wa siku wataishia kupiga mziki wa bongo flavour tu
Nahilo ndiyo linaendelea kuwatesa walidhani wateja wao ni ccm tu sasa wacha wafulie nabadoooWataishia kuonyesha mikutano ya ccm
umeamua kuponda kwa kufata mkumbo tu,kila mtu akiponda anaishia kwa jini kuvuka barabara na jambazi kuvua viatu,kweli kuna makosa lakini chanzo sio hao watengenezaji tu,wasambazaji na wewe mteja wote mnachangia bongomovie kufanya vibayaSura zao hazina ushirikiano kwa kitendo husika
Heri ya mwana nani bana ... kwa staili ya mikakati ya Kibashite hiyo station wataitizama wao wenyewe na mabeki tatu wa uswahiliniKila la kher
umeamua kuponda kwa kufata mkumbo tu,kila mtu akiponda anaishia kwa jini kuvuka barabara na jambazi kuvua viatu,kweli kuna makosa lakini chanzo sio hao watengenezaji tu,wasambazaji na wewe mteja wote mnachangia bongomovie kufanya vibaya
Unauliza nini wewe??wewe jini ulishawahi onana nae wapi,hadi ukaona akivuka barabara haangalii pande zote?
umeuona ujinga wako,unajifanya hujaelewa!Unauliza nini wewe??
movie kweli huwezi pata kwa jero,hayo makapi ya movie unayoangalia,huko yanakotika yanauzwa usd 40-60,zaidi ya elf 80Heri ya mwana nani bana ... kwa staili ya mikakati ya Kibashite hiyo station wataitizama wao wenyewe na mabeki tatu wa uswahilini
Labda waache ku act maigizo wafanye muvi za kikweli ...
Mkuu niambie jina la hii movie nimemiss komedi kitambo sana naweza angalau kuchekaIli watudanganye vizuri kama hiviView attachment 506887 eti hawa wametekwa halafu kaja askari shupavu kuwaokoa
Quality Kaka ... ulishaona muvi budget Milioni 3 ndani ya wiki muvi tayari ... sasa hiyo muvi au maigizo ... angalia tofauti ya Bongo muvi yaleo na ile ya Mzee Yombayomba utagundua hawa wa skuizi wazushi tundo mlivo wabongo,kuponda vyenu na kutukuza vya watu,wafilipino kila siku mtoto alipotezana na mzazi wake angali mdogo,bdae patakua na D.N.A itayomtambulisha baba yake,lakin hamuachi kutazama wala hamsemi yaleyale kwa kuwa wana makalio meupe na wanaongea lugha ngeni,cd zenyewe mnakodi kwa jero na hamjali kama halisi kisha mnalilia vitu vizuri
Online TV au IPI?Katika kuitikia wito wa Hapa Kazi tu. Wasanii tajwa wanatarajia kuanzisha tv station nchini ili kuonyesha kazi zao
ARVs,TACAIDS,ANGAZA na watu 2m+ wanaoishi na VVU ni bongo movie!,picha ulizoweka zinatofautiana,moja watu wanaoneshana silaha akiwepo mtoto mdogo,ingine mateka wamefungwa,hawawezi kua na reaction sawaNaona povu linakutoka kweli. Mkumbo umefata mwenyewe. Nimeweka picha hapo inaonyesha uhalisia wa uongo wenu bongo movie UKWELI NI KWAMBA HAMJUI KUIGIZA MMEISHIA KUBANDUANA WENYEWE KWA WENYEWE TU HICHO NDIO MNAKIJUA.
ARVs,TACAIDS,ANGAZA na watu 2m+ wanaoishi na VVU ni bongo movie!,picha ulizoweka zinatofautiana,moja watu wanaoneshana silaha akiwepo mtoto mdogo,ingine mateka wamefungwa,hawawezi kua na reaction sawa
tatizo lenu wabongo mnapenda kubebea bango vitu msivovijua,muda hauamui movie iwe na quality au laaQuality Kaka ... ulishaona muvi budget Milioni 3 ndani ya wiki muvi tayari ... sasa hiyo muvi au maigizo ... angalia tofauti ya Bongo muvi yaleo na ile ya Mzee Yombayomba utagundua hawa wa skuizi wazushi tu
Mkuu niambie jina la hii movie nimemiss komedi kitambo sana naweza angalau kucheka