Tetesi: Bongo movie kuanzisha tv station

Tuwaunge mkono
Utanunuaje Movie ya m2 kaishia form 2 afu yy ndie Main Character ktk Movie? Karne ya 21!!!

Mf. Ray, Shilole, Mhogo mchungu, JB, nk karne ya sasa kila kitu ni elimu ili uweze kumuroby mteja wako. Mfikirishe saaana.
Hizi Movie zao wanao zipenda sn ni Hawa Mama wa Nyumbani (std 4 hadi std 7) au House Grls au Bar Maids (std 4 au std 7 au Div 5 wa Mulugo).

Mfano Movie ya 24 Hours au Prison Break. Ukiitizama unadhani ni kweli kumbe Fix tu..TV huzimi hadi saa 8 au 9 usiku.
 
tuwa-support manguli hawa wa filamu
 
kila bidhaa ina mteja wake,wewe mwenye fikra pevu endelea kufikirishwa kwamba yote yale bauer anayafanya ndani ya 24hrs au scofield anaweza kuyachezea magereza kiasi kile,beki 3 ujinga huo hataki
 
Tupende vya nyumani kwanza
 
Utanunuaje Movie ya m2 kaishia form 2 afu yy ndie Main Character ktk Movie? Karne ya 21!!!

Mf. Ray, Shilole, Mhogo mchungu, JB, nk karne ya sasa kila kitu ni elimu ili uweze kumuroby mteja wako. Mfikirishe saaana.
Hizi Movie zao wanao zipenda sn ni Hawa Mama wa Nyumbani (std 4 hadi std 7) au House Grls au Bar Maids (std 4 au std 7 au Div 5 wa Mulugo).

Mfano Movie ya 24 Hours au Prison Break. Ukiitizama unadhani ni kweli kumbe Fix tu..TV huzimi hadi saa 8 au 9 usiku.
Ukweli kabisa mkuu mfano wenzetu wa Nigeria wapo mbali sana kwenye hii industry kwa kuwa wengi wao wameenda shule
 
Katika kuitikia wito wa Hapa Kazi tu. Wasanii tajwa wanatarajia kuanzisha tv station nchini ili kuonyesha kazi zao

Kumbe yale ' Maandamano ' yao na Jini Mkata Kamba wa Bongo City hayakuwa ya bure na haya sasa ndiyo malipo yao?
 
Waachane kwanza na maigizo ya ngono kama wacheza pornograph. Wakishamaliza kuchedana ndo waanze kuigiza. Hapo tutakuwa tunajiachia sting room na wadogo zetu na ndugu zetu pia...Maigizo ya kitandani sio mazuri kuangalia mchana jamani..loh.
 
Hahaaaa hao washakua wanasiasa,watagombana maana wanaendeleza sana itikadi na wamekubali kutumika vibaya
 
27f116364f6304dd1711e8898cb6f73e.jpg

[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom