Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mimi nimewapa BAN...MarufukuWacha waendelee kupokea adhabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimewapa BAN...MarufukuWacha waendelee kupokea adhabu
Utanunuaje Movie ya m2 kaishia form 2 afu yy ndie Main Character ktk Movie? Karne ya 21!!!Tuwaunge mkono
kila bidhaa ina mteja wake,wewe mwenye fikra pevu endelea kufikirishwa kwamba yote yale bauer anayafanya ndani ya 24hrs au scofield anaweza kuyachezea magereza kiasi kile,beki 3 ujinga huo hatakiUtanunuaje Movie ya m2 kaishia form 2 afu yy ndie Main Character ktk Movie? Karne ya 21!!!
Mf. Ray, Shilole, Mhogo mchungu, JB, nk karne ya sasa kila kitu ni elimu ili uweze kumuroby mteja wako. Mfikirishe saaana.
Hizi Movie zao wanao zipenda sn ni Hawa Mama wa Nyumbani (std 4 hadi std 7) au House Grls au Bar Maids (std 4 au std 7 au Div 5 wa Mulugo).
Mfano Movie ya 24 Hours au Prison Break. Ukiitizama unadhani ni kweli kumbe Fix tu..TV huzimi hadi saa 8 au 9 usiku.
Hawana mpangoMimi nimewapa BAN...Marufuku
Ukweli kabisa mkuu mfano wenzetu wa Nigeria wapo mbali sana kwenye hii industry kwa kuwa wengi wao wameenda shuleUtanunuaje Movie ya m2 kaishia form 2 afu yy ndie Main Character ktk Movie? Karne ya 21!!!
Mf. Ray, Shilole, Mhogo mchungu, JB, nk karne ya sasa kila kitu ni elimu ili uweze kumuroby mteja wako. Mfikirishe saaana.
Hizi Movie zao wanao zipenda sn ni Hawa Mama wa Nyumbani (std 4 hadi std 7) au House Grls au Bar Maids (std 4 au std 7 au Div 5 wa Mulugo).
Mfano Movie ya 24 Hours au Prison Break. Ukiitizama unadhani ni kweli kumbe Fix tu..TV huzimi hadi saa 8 au 9 usiku.
Hatuna muda huo wakati AMC zipo?tuwa-support manguli hawa wa filamu
Mkuu huo uzalendo umetushindaTupende vya nyumani kwanza
Katika kuitikia wito wa Hapa Kazi tu. Wasanii tajwa wanatarajia kuanzisha tv station nchini ili kuonyesha kazi zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umeuona ujinga wako,unajifanya hujaelewa!