BONGO MOVIE | Special Thread

BONGO MOVIE | Special Thread

Ali Nassor Px

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2022
Posts
2,384
Reaction score
3,926
Top ten Bongo movie series of all time.

Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia.

lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi kufanywa na zinaendelea kufanyika.

Hizi ni miongoni wa tamthilia kumi bora za kitanzania ambazo Ziliwahi kuoneshwa & zinaoneshwa kwenye vituo vya television hapa nchini.


20221113_160221.jpg

1. SIRI YA MTUNGI

Screenshot_20221113-170145~2.png

2. JUA KALI

Screenshot_20221113-170152~2.png

3.BONGO DAR ES SALAAM

Screenshot_20221113-170210~2.png

4.MANENO YA KUAMBIWA

Screenshot_20221113-170131~2.png

5. KOMBOLELA

Screenshot_20221113-162857~2.png

6. BINADAMU

Screenshot_20221113-170158~2.png

7. HUBA

Screenshot_20221113-170205~2.png

8. REBECA

Screenshot_20221113-170216~2.png

9. SALUNI YA MAMA KIMBO

Screenshot_20221113-170223~2.png

10. MWANTUMU.

_____________________________________

Follow this thread for new updates!
 
Back
Top Bottom