Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake DJ kama umeiona fursa usiiache ikakupita kama vipi wakupe kifungu cha sheria kinachokataza otherwise piga kazi kama Sizonje na bashite
 
Nchini Kenya yupo DJ flani hivi jamaa anajiita 'DJ Afro'.Ukitazama movies zilizotafsiriwa na huyu DJ hautakuja kuangalia bongo movies milele,jamaa ametafsir movie nyingi sana kama vle Brothers Grimsby, Viral factor,fast and furious zote,movies zote za Dolph Lundgren,Movies za Michael Dudikoff,Prisoners of war the escape (P.O.W),Escape from Surbibor, Many ways to die in the west, movies za Keny Koshugi (mtoto wa Shokoshugi),Yankee the Zulu.Pia ukifuatilia kpind cha Churchill show huwa wanapenda kumualika,huyu DJ yuko very talented na huwa napenda movies zake kwa kuwa huwa anatafsiri tukio na cyo maneno.Kwa fikra hizi wanazokujanazo ndugu zetu wa bongo movies wanapaswa kujipanga.
 
Bongo movie wameishiwa swagga, sasa kwa mfano jamaa (Dj Murphy) akafuata taratibu za kulipa kodi na taratibu zote halafu akaendelea kutafsiri, watakuja na swagga gani tena?
Copyright act inambana sema serikali haifatilii japo imesign mikataba ya kimataifa wao wanadowload movie moja wanatafsiri afu wanaburuza mengi wanauza hata kodi hawalipi
 
48e8ec753da48bdf99ad8528b31f02ba.jpg
 
Hawa Bongo Movie nawafananisha na timu ya Simba wanaolilia ushindi wa mezani.
 
Back
Top Bottom