Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anae washauri nae ajitazame vizuri swala ta kutafsiri movie halija anza leo.....!
Tumeangalia Drama ya MADO MADO ni yakichina mbali ya hapo hizi tamdhiria za kifilipino na mexico wameweka maneno tu ya kingereza....!

Hao wanapo kosea ni sehemu moja tu
Tatizo Bongo Movie kila mtu anaweza aka produce na kuigiza...wanasahau kuna vitu vingine nivya kuingia darasani....
Mpiga picha anajifunza leo mtaani kesho unamkuta ni mpiga picha wa wa R&J [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama Mtu wa sauti na mtu wa taa kama wamesomea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bingo movie muwe muwe mna angalia movie za wenzenu walio endelea mnakuwa mna crew ya watu 4 eti wana tengeneza movie[emoji23][emoji23][emoji23] angalieni wenzenu nyuma wanakuwa watu wangapi kila mtu ana fanya kazi hakuna anaye muingilia mwenzake majukumu. Au mmoja ana majukumu 2 ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WACHA NIANGALIE KOREA DRAMA MIMI.

TENA BONGO MOVIE nawa ambia SAHIZI FILAMU ZA KICHINA ZINAKUJA JUU KWELI........TUMEANZA KUWA BIZE NAZO SAHIZI
 
Haha amakweli bongo movie wameishiwa swagger,sasa hao wanotafasri movie wamewabania nini? Hao wanaotafasri wapo toka enzi za akina @rufufu ,mbona kanumba alikuwa anafanya vzr na hao watafasri movie walikuwepo,daa bongo movie punguzeni visingizio

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Murphy the one piga movie mkubwa achana na wasanii hawa wa bongo ni wasanii fanya kazi chali ya R usiogope wafuasi wa kibwetere
 
Niliona movie moja ya bongo alikuwemo mhogo mchungu huyu ni mwigizaji wa enzi miaka ya tisini alicheza kama mganga wa kienyeji

Halafu alikuwepo jamaa anafahamika kama dude sikumbuki hiyo movie kama huyu bwana alikuwa ndo mwenye mtoto au alimpeleka rafiki yake kwa mganga ambaye ni mhogo mchungu

Cha kusikitisha kuna kipengele kilichoniacha hoi mhogo mchungu alikwenda hospitalini wakiwa na dude kumchukua mtoto aliyekuwa amezaliwa hospitalini mchana kweupe hadi wakakutana na doctor akitelemsha ngazi wakatazamana na huyo doctor

Sasa hata kama ni uchawi ndio wa mchana kweupe halafu wakisukuma watu na kuazamana na doctor!! Ingekuwa basi wasingeshangaana na doctor kuonesha hawajaonekana

Huu ulikuwa ni uongo usio na kipimo na ni wa kipumbavu huku ukiwashirikisha wasanii maarufu
 
Siwezi kuangalia movie eti sepenga anatolewa bikra bongo [emoji327] wamekurupuka
 
Piracy haina taratibu za kufuata zaidi ya kununua DvD original kitu ambacho hakuna anaeweza kufanya..
 
et niache kuangalia fast furious,prison break niangalie movie ambayo ndani ya dakika tano nishajua inapoelekea kweli?
 
mtu katafsiri movie ya vandame we mlela umshtaki ama kweli tanzania ya viwanda inakuja siumuache vandame aje kumshtaki
 
Nchini Kenya yupo DJ flani hivi jamaa anajiita 'DJ Afro'.Ukitazama movies zilizotafsiriwa na huyu DJ hautakuja kuangalia bongo movies milele,jamaa ametafsir movie nyingi sana kama vle Brothers Grimsby, Viral factor,fast and furious zote,movies zote za Dolph Lundgren,Movies za Michael Dudikoff,Prisoners of war the escape (P.O.W),Escape from Surbibor, Many ways to die in the west, movies za Keny Koshugi (mtoto wa Shokoshugi),Yankee the Zulu.Pia ukifuatilia kpind cha Churchill show huwa wanapenda kumualika,huyu DJ yuko very talented na huwa napenda movies zake kwa kuwa huwa anatafsiri tukio na cyo maneno.Kwa fikra hizi wanazokujanazo ndugu zetu wa bongo movies wanapaswa kujipanga.
Oraaaaaaaaita.! wako Dj top ranking Dj Afro.!
 
Kuna baadhi ya movie za kibongo wana copy mpaka soundtrack za movie za ng'ambo, sipati picha nao wakishitaki kwa kuibiwa ubunifu wao.
watu wapo standby kutuma emails na kupiga simu siku wakithubutu kuwasgusa kina dj mark,sasa hivi vinakusanywa vipande vya hizo movies walizoiba soundtracks tena hadi steps entertainment watahusishwa kwenye hizo kesi maana wao nod wananunua copyrights,wakapambane na mastudio ya marekani sasa wakisaidiwa na bashite wao
 
Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Hili ni janga haswaaa sijui wanawazaga nini yaani
Ni bora kuwe kimya tu
 
Waache ujinga mie nimezipiga marufuku bongo movie nikiikuta ndani kwangu natembeza kichapo, tiiivii yangu, dec yangu, luku nalipa mwenyewe nasema SIIPAANGIIWIIII. FULL STOP
 
Ata wakimshitaki hatutaangalia movie zao kwa upumbavu kama huu
6a5253fc4b1a254e6890064148e33f55.jpg
Tehehehhhehh..mkuu we ni kama mimi. Kilichonifanya nisiangalie hizi mubi zaidi ni hizi sub title. I can not believe hakuna watu wa kutafsiri english vizuri, lakini wao wanajifanya wanajua kila kitu...shame!
 
Back
Top Bottom