Radics
Senior Member
- Mar 12, 2017
- 104
- 79
Kweli mkuu ni kero kabisaaaa...hapa ingefaa Bongo movie wawe wabunifu na kutoa movie zinazoedana na level za kisasa...wamekua so predictable yaani picha inaanza unaweza kubet itaisha aje na mbaya zaidi nyingi havina viwango..tangu marehemu Kanumba aodoke ni kama vile wamekosa mwelekeo wa kutoa movie quality...kwa kweli watasubiri sana..Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.