Kweli mkuu ni kero kabisaaaa...hapa ingefaa Bongo movie wawe wabunifu na kutoa movie zinazoedana na level za kisasa...wamekua so predictable yaani picha inaanza unaweza kubet itaisha aje na mbaya zaidi nyingi havina viwango..tangu marehemu Kanumba aodoke ni kama vile wamekosa mwelekeo wa kutoa movie quality...kwa kweli watasubiri sana..Wawafungulie mashitaka na wenye ma-bus hasa ya safari ndefu kwa kuonyesha bongo movie bila ridhaa yao,watusaidie maana kuangalia ushuzi wa Bongo movie kutoka Dar–Mwanza ni zaidi ya kero nishagombana sana na makondakta.
Afu wanazingua sana, vilaza mnooo...hakuna hata director or producer amejitolea kwenda nje kuongeza ujuzi....hela zote wanaishia kuweka dawa nywele na kupaka podaHahaa aisee ni kichekesho cha mwaka. Bongo movie wamejiharibia wenyewe hasa baada ya kuikurupukia insta kwa pupa,wana majibu ya dharau sana mitandaoni,nyodo nyingi,kujionesha wana hela sana bila kusahau movie zao chini ya kiwango wakwendree tu.
Hizi watoto wa st nanii,hawawezi tazama.....Ata wakimshitaki hatutaangalia movie zao kwa upumbavu kama huu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wabongo move bhado sn, msitulazimishe kula kisichofaa kisa eti cha nyumbani, mimi nanunua hd move ya ulaya hata kwa elfu 25 lakini hiyo ya kibongo buku 2 sitoi, mtu anaamka asubuhi ana mekapu, mtu anaishi kijijini ana mekapu na wave, Jini kavaa tisheti ya arsenal, stelingi wa move kamikaze, dairekta kamikaze, kamera man kamikaze, mekapu kamikaze, skript kamikaze, saund trak kamikaze, hapo unategemea nini?
Tumia ubongoYeye anakudharau zaidi
Ccm ni wapinzani wa upinzaniKwani watanzania wote ni wapinzani wa ccm
Asante sana mkuu kwa kujitambuaHivi wana akili timamu hawa?
Haya Malalamiko wayapeleķe ofisi za CCM kwasababu ndipo nyoyo zao zilipo
SISI INATUHUSU NINI?