Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

Hahaha, hivi huyu Mlela aliishia wapi wakuu?
 
Watengeneze muvi zenye ubora waache kulazimisha maigizo yao kutazamwa. Watazamaji waachwe huru kuchagua watakacho
 
Bongo muvi bongo lala..taaluma isiyotumia akili..bali matakle.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mfano ni pale muigizaji wa bongo muvi anapoigiza jini, jini gani linapovuka barabara linaangalia upande wa kushoto na kulia ndio livuke barabara? Muvi za kibongo bado hazina uhalisia ni maigizo matupu. Bongo muvi wajifunze kwa wenzao wa nje kucheza picha za uhalisia, sinema zao zivutie watazamaji kwanza ndio wapige marufuku hao ma dj wanaotafsiri muvi za nje
 
[emoji23][emoji23]
 
Waanze na Azam TV wanaotafsiri movies na tamthiliya za nje!! Wao wajiongeze tu kwenye uandaaji wa movie zao!!
 
Hawa watu walijiua kitasnia wenyewe badala ya kuweka watu wenye vipaji wao wakaendekeza wauza sura ngono na watafuta umaarufu kwa nguvu,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…